joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,846
- 39,489
Vitu viwili tofauti.Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
View attachment 1462532