Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Kwani hii inatuhusu TZ? Wao ndo wana matatizo na twitter na rais wao. Hayatuhusu, usipotoshe!Taifa la marekani limetoa taarifa ifuatayo ,kumbuka kaimu balozi was marekani aliitwa wizara ya Mambo ya n'nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa ,one does not have to be a genius to understand this.View attachment 1462532
Kunanchi inataka kuzima internet?
Hacking haizuiriki mkuu hata USA wanakuwa hacked kila mara tu!Ilo liko wazi jiwe pia anataka kuzima internet kwenye uchaguzi! namshauri tu aache hata Kikwete Mwaka 2015 alijaribu kuzima akakwama! Walifanikiwa kuishambulia Jamii Forum kupitia January Makamba na vijana wa IT waliokuwa masaki.
Noted.Ilo liko wazi jiwe pia anataka kuzima internet kwenye uchaguzi! namshauri tu aache hata Kikwete Mwaka 2015 alijaribu kuzima akakwama! Walifanikiwa kuishambulia Jamii Forum kupitia January Makamba na vijana wa IT waliokuwa masaki.
Ilo liko wazi jiwe pia anataka kuzima internet kwenye uchaguzi! namshauri tu aache hata Kikwete Mwaka 2015 alijaribu kuzima akakwama! Walifanikiwa kuishambulia Jamii Forum kupitia January Makamba na vijana wa IT waliokuwa masaki.
Taifa la marekani limetoa taarifa ifuatayo ,kumbuka kaimu balozi was marekani aliitwa wizara ya Mambo ya n'nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa ,one does not have to be a genius to understand this.View attachment 1462532
Tramp leo asubuhi kanichekesha kweli ati kaandika CHINA tu hahahahaha [emoji23] [emoji23], huyu mzee banaaView attachment 1462700
Kibabu kinamatatizo sana haka ila UCHINA inainyima sana usingizi US hasa haka kababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tramp leo asubuhi kanichekesha kweli ati kaandika CHINA tu hahahahaha [emoji23] [emoji23], huyu mzee banaaView attachment 1462700
Hahahahaha nilipoiona tu nimecheka sana aiseeKibabu kinamatatizo sana haka ila UCHINA inainyima sana usingizi US hasa haka kababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madhara ya kukurupuka mkuu,hapa umekurupuka bila kuelewa chochote,umejawa na mihemko ya kisiasa isiyoupa ubongo wako muda wa kutafakari na kujua kipi uandike pole sanaTaifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
View attachment 1462532