MAREKANI: Rais Donald Trump asema atatoa marufuku mpya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Donald Trump anasema kuwa huenda akabadilisha marufuku yake dhidi ya wahamiaji na agizo jingine la rais litakalopiga marufuku raia wa mataifa kadhaa kutoingia Marekani baada ya jaribio lake la awali kubadilishwa na mahakama.

Bw Trump aliambia wanahabari katika ndege ya Airfoce One kwamba amri mpya huenda ikatolewa mapema siku ya Jumatatu ama jumanne .

Inajiri baada ya mahakama ya rufaa mjini San Fransisco kupinga amri yake ya hapo awali.

Agizo hilo lilikuwa limepiga marufuku raia kutoka mataifa saba ya Waislamu.

Haijulikani ni vipi amri hiyo mpya itakuwa.

Bw Trump amesema kuwa amri hiyo itakuwa na mabadilik kidogo lakini hakutoa maelezo zaidi.


_94266606_us_govt_checks_balances_v02_624in.png
Licha ya pendekezo lake siku ya Ijumaa ,serikali ya Trump huenda ikafuatilia rufaa yake mahakamani kuhusu agizo lake la kwanza ambalo lilipingwa wiki moja iliopita na jaji wa Seattle.

''Tutashinda vita hivi,Trump aliwaambia maripota akiongezea:Tatizo ni kwamaa inachukua muda mwingi.Lakini tutashinda vita hivyo.Lakini pia tuna njia nyengine mbadala ikiwemo kuanzisha upya marufuku nyengine''.

Chanzo: BBC
 
Waisilamu mavi yanagonga chupi saiv wanahaha kinoma

hivi wewe upo dunia gani? huu ni mchezo wa kisiasi sio kabisa kuhusiana na uislam na waislam.
Trump kama kweli haswa anataka kuwazuia waislam, basi waislam wa kwanza wanaotakiwa kuzuiliwa ni wa saudi arabia, ambao waliokuwemo ndani ya ndege siku ya september 11. Wa saudia walikuwa 11 kati ya watu 15.
mbona hawa hawajaguswa na wala mataifa yao hayajaguswa.
kwa akili zako hizo fupi, huu ni mchezo kabisa sio kabisa kuhusu taifa lenye waislam wengi.
maana la kwanza angewaanza wa saudi hasswa ambako kila siku waislam wanakwenda kufanya umra. mbona huko kakaa kimya? mimi jawabu ninalo sijui wewe.
hakuna gaidi wala ugaidi ni ni wenyewe wameanzisha balaa la kuzivamia nchi ambazo wanataka wanachokitaka baaasi.

USIWE UNAKURUPUKA BILA YA KUJUA NINI UNASEMA
 
Waisalamu bhana kwanini msitulie makwenu bakin kwenu bhana acheni kukimbilia kwa makafiri allah hapend
Umekaa huko kijijini,Mtukula,utajuwaje mambo ya dunia.Unafikiri mashirika ya ndege yameanzishwa yapande nani ,kama sio Wenye pesa zao,waislamu.
 
Umekaa huko kijijini,Mtukula,utajuwaje mambo ya dunia.Unafikiri mashirika ya ndege yameanzishwa yapande nani ,kama sio Wenye pesa zao,waislamu.
Ahaaaa waisilamu mnachekesha sana aisee hamuishi kulia lia kwenda kwa makafiri mnaambiwa sitaki kuwaona toka waisilamu bado wanalazimisha

Jumatatu marufuku inarud pole yenu
 
Ahaaaa waisilamu mnachekesha sana aisee hamuishi kulia lia kwenda kwa makafiri mnaambiwa sitaki kuwaona toka waisilamu bado wanalazimisha

Jumatatu marufuku inarud pole yenu
Waache Wenye hela zao wasafiri.Wewe kama uko kijijini kwa mdole,huna hela,shukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom