Marekani ni waislam?

Marekani ni waislam?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Nauliza tu. Maana kuna vijana waliozaliwa 90 na baada ya kuzaliwa wakasikia Alqaida na wengine huko mashariki ya kati wakaaza kuwasema vibaya waislam na kuanza kuona kama ndio tatizo.
Wengi hawataki kusoma historia. Wanashinda ktk social media na kuanza kukoments.
Sasa tujiulize marekani nao ni waislam?
 
uislamu wa marekani kwa wamarekani ni tofauti na uislamu huu uliopo hapa afrika na nchi zenye dini zao.

Waislamu wa kule uwezi kuelewa kama ni muislamu yani maisha wanayo ishi waislamu wa kimarekani tena ndio black utakataa kabisa.

Huku kwetu sasa tanzania yani kila mda kanzu utazani kazaliwa saudia.

Wenzetu wamarekani uslamu wake ni amani tu,mda wa kuswali anajitafutia sehemu yake ana swali sio huku yani ni vurugu mpaka wakuone kuwa una swali.

waislamu wa kimarekani uwezi kumuona ana kuchukia hata kama sio dini yake ,ndio maan kipindi cha markom x kulikuwa na waislamu wengi na waliungana na mrtin Luther kupinga ubaguzi na wakaweza.Huku bwana yani waislamu ndio wanaona ndio waliiopata uhuru nchii.

waislamu wa kimarekani mnaishi majirani na mnawekeana mipaka kama hiki usitumie,hiki sawa kama imani tofauti na wote wanaishi bila hata kumtenga mwenzake.Huku bwana yani sheikh yule mwarabu wa mchongo xmass ni haramu.
 
Ndani ya jeshi la marekani Kuna waislamu kibao , kila jimbo misikitiki ipo kibao , ndani ya jeshi la marekani dini za watu zinaheshimiwa mno .
 
uislamu wa marekani kwa wamarekani ni tofauti na uislamu huu uliopo hapa afrika na nchi zenye dini zao.

Waislamu wa kule uwezi kuelewa kama ni muislamu yani maisha wanayo ishi waislamu wa kimarekani tena ndio black utakataa kabisa.

Huku kwetu sasa tanzania yani kila mda kanzu utazani kazaliwa saudia.

Wenzetu wamarekani uslamu wake ni amani tu,mda wa kuswali anajitafutia sehemu yake ana swali sio huku yani ni vurugu mpaka wakuone kuwa una swali.

waislamu wa kimarekani uwezi kumuona ana kuchukia hata kama sio dini yake ,ndio maan kipindi cha markom x kulikuwa na waislamu wengi na waliungana na mrtin Luther kupinga ubaguzi na wakaweza.Huku bwana yani waislamu ndio wanaona ndio waliiopata uhuru nchii.

waislamu wa kimarekani mnaishi majirani na mnawekeana mipaka kama hiki usitumie,hiki sawa kama imani tofauti na wote wanaishi bila hata kumtenga mwenzake.Huku bwana yani sheikh yule mwarabu wa mchongo xmass ni haramu.
Kumbe kuvaa kanzu nalo tatizo? Mbona nyinyi makafir ya afrika hamvai magome ya miti na ngozi mnavaa nguo za wazungu?
 
uislamu wa marekani kwa wamarekani ni tofauti na uislamu huu uliopo hapa afrika na nchi zenye dini zao.

Waislamu wa kule uwezi kuelewa kama ni muislamu yani maisha wanayo ishi waislamu wa kimarekani tena ndio black utakataa kabisa.

Huku kwetu sasa tanzania yani kila mda kanzu utazani kazaliwa saudia.

Wenzetu wamarekani uslamu wake ni amani tu,mda wa kuswali anajitafutia sehemu yake ana swali sio huku yani ni vurugu mpaka wakuone kuwa una swali.

waislamu wa kimarekani uwezi kumuona ana kuchukia hata kama sio dini yake ,ndio maan kipindi cha markom x kulikuwa na waislamu wengi na waliungana na mrtin Luther kupinga ubaguzi na wakaweza.Huku bwana yani waislamu ndio wanaona ndio waliiopata uhuru nchii.

waislamu wa kimarekani mnaishi majirani na mnawekeana mipaka kama hiki usitumie,hiki sawa kama imani tofauti na wote wanaishi bila hata kumtenga mwenzake.Huku bwana yani sheikh yule mwarabu wa mchongo xmass ni haramu.

Ulichozungumz kinaenda sambamba na wakristo wa marekani hivyo hivyo.

Wakristo wa marekani mfano jiji la newyork pamoja na kuwa yule jamaa ni muislam hawakuangalia dini yake wamemchagua na kuwa kiongozi wao bila kuangalia dini yake ya uislam wameangalia utendaji wake.

Pili hawana chuki na waislam wala uislam thats why utaona wakristo wengi USA wanaandamana kuwapinga israel na usa katika vita yao dhidi ya wapalestina kule gaza bila kujali kiwa wanaouliwa wengi kule ni waislam
 
  • Thanks
Reactions: Fbn

Kusafiri ni elimu kubwa sana.

Wenzetu dini ni kama part ya kupitia maisha.Ila huku kwetu tumeweka kama maisha ni dini.
 
Back
Top Bottom