MAREKANI ni mtapeli na Mnafiki kweli

AmeIlazimisha kwa nguvu satelite provider ambaye anairusha mavimbi ya PRESSTV CHANEL kuisimamisha na kutoendelea
 
Hawa Press TV...wanakupa live hakuba chenga
 
sijaelewa unafiki gani kwenye hiyo picha, au simu yangu hainioneshi vitu vingine!
Fafanua unafiki gani wa Rafiki yetu Merikani anayetupa hela nyingi kupitia MCC na PEPFAR.
 
Marekani inajigamba kuwa ni mmoja wa nchi yenye kuruhusu FREEDOM OF SPEECH na kuwaonya nchi yeyote ambaye hakubali naye juu ya maswala ya Freedom of Speech.. Lakini mtu au nchi au TV chanel yeyote ikitoboa maovu yao na siri za viongozi wao basi hapo ndo mwisho wa freedom of speech.

Marekani wamesimamisha PRESS TV kuendelea kutoa habari sahihi za dunia
 
leo imerudi hewani.hii huwa ni kiboko hasa yule mtangazaji George gallow
 

kwani mkuu press tv ni ya iran au us?
 
Ya Iran lakini ilikuwa na tumia satelite ya europe ambayo mwanzo ilikataa kukabali maombi ya marekani kuvunja mkataba na Press tv lakini baadaye marekani iliwalazmisha kwa kuonya kama ilivyokuwa kawaida yao na hatimaye satelite provider hao walisimamisha na kuvunja mkataba na PRESSTV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…