Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

Ha ha ha unafananisha ubora wa US na wale wanaowinda na kuwaua TEMBO WETU WA AFRIKA?!!!!
 
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Ni kweli ndo maana Libya kuna amani baada ya kumuondoa Gaddafi
 
Marekani ni kama maji, usikunywa utaoga na kutawazia kabisa! Huu ndio ukweli ambao kila mtu anaujua tukatae, kubishe, tuwatukane lakini ukweli mchungu wakuu.... Wakiweka Economic sanctions hapa nchi tutatafutana hii nchi, kuna watu naona wanajifariji na China eti itatusaidia, hivi mnawajua vizuri wachina...!?
Wakiweka economic sanctions wanaoumia ni wanachi sio raisi wala wabunge
 
Hahah mmeghairi kuingia ktk Maandamano??

Jaribuni tu... Muone
Atuingii bwashee tumeghairi.
yale ma Ashork Leyland kila tukiyaangalia tunyaona yanahasira alafu ukiyaona kama yanalia hivi kwa ghadhabu.
 
America na south korea ndo nchi bora zaidi duniani kuishi huko kuna democracy bwana
 
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu Wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Siku zote mtenda haki huwa hapendwi
 
Back
Top Bottom