Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,054
Reaction score
4,115
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu Wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
 
Marekani ni kama maji, usipokunywa utaoga na kutawazia kabisa! Huu ndio ukweli ambao kila mtu anaujua tukatae, kubishe, tuwatukane lakini ukweli mchungu wakuu.

Wakiweka Economic sanctions hapa nchi tutatafutana hii nchi, kuna watu naona wanajifariji na China eti itatusaidia, hivi mnawajua vizuri wachina...!?
 
Hamna tofauti na Wanawake wanaotetewa na kupiganiwa na J.Kiria, Mwanaume mzima unaongea wa kinyonge namna hio eti mwanaume mwenzako anakupigania, hivi wewe Mji wako ukivamiwa si ndio Wanaume kama nyie mnaoacha nyuma Mke na Watoto na kukimbia kwenda kujificha? WTF ?
 
Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.

Angalia South Korea, Singapore, etc

Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.

Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
 
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Ususie bidhaa za mchina?

Huyu Lisu kaharibu akili za vijana
 
Sikubaliani na kuondolewa wapinzani bungeni, ila pia sikubaliani hata kidogo kusema marekani ni rafiki zetu wa kweli. Hawanaga rafiki wa kweli wa kudumu wana agenda zao za kudumu kwa ajili ya nchi yao
 
Lodi,,lodi,,,imeishia wapi makamanda.
kama vipi basi mmuachie mungu tu,yeye mwenyewe alietuumba si anaona.
subirini 2025 twende na Shangazi Fatma Karume.
#2025 makamanda twendeni na Shangazi.
 
Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.

Angalia South Korea, Singapore, etc

Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.

Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
Waulize watu wa Cuba na Venezuela kibano wanachopata kutokana na vikwazo vya mabeberu.
 
Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.

Angalia South Korea, Singapore, etc

Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.

Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri

Ubongo wako upo vzur mkuu.Ngoja nikaprint sms yako niwe naisoma kila asubuhi na jioni.
 
kwel ukoloni mamboleo bado upo mbaka sasa kizazi hiki wanaona watu wa magharibi ni bora hao hawana undugu hata kidogo fikra zako unahisi marekani n mkombozi 😀 mkombozi wa africa ni mwafrika mwenyewe
 
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
China ndio veto yetu....
 
Unategemea mageuzi kwa wanasiasa kama hawa 👇👇👇
images (23).jpeg

Hata US wenyewe anawashangaa kwa upuuzi huo walio ufanya 2015,anajua wote ni walewale.

Tanzani hamna upinzani,upinzani ulisha 2015.
 
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.

Kilichotokea kwenye uchaguzi huu wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani kupotea.

Marekani wameonesha kutupigania sana tangu kipindi cha kampeni kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki nadiliki kusema hawa ndio rafiki zetu wa kweli.

Wenzetu hawa wachina wameamua kuharalisha haya yaliyofanyika kwenye uchaguzi huu pamoja na kwamba wananchi tumekuwa wateja wa bidhaa zao hapa naona kuna umuhimu hata kususia bidhaa zao.
Susiaa hili jinga kwel

Ingia BARABARANI... kama huwez tuliza kende

Tutawavunjaa
 
Marekani na nchi za ulaya, ukienda nao sawa, lazima uwe na maisha mazuri.

Angalia South Korea, Singapore, etc

Kinyume chake ni sahihi, ukijaribu kwenda kinyume na misingi inayoaminiwa na wa marekani, hauwezi kupiga hatua yoyote kwenye hii dunia.

Magufuli anajaribu, lakini hatakuwa na mwisho mzuri
Haikuhusu
 
Lodi,,lodi,,,imeishia wapi makamanda.
kama vipi basi mmuachie mungu tu,yeye mwenyewe alietuumba si anaona.
subirini 2025 twende na Shangazi Fatma Karume.
#2025 makamanda twendeni na Shangazi.
Hahah mmeghairi kuingia ktk Maandamano??

Jaribuni tu... Muone
 
Back
Top Bottom