Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,943
- 244,531
Hii imebainika baada ya kutopeleka maombi ya kushiriki kama waangalizi wa kimataifa .
siku ya mwisho ya kupeleka maombi hayo ilikuwa 29 february 2016 ,
mkurugenzi wa mipango wa cuf , omar ally shehe amesema sababu zilizosababisha waangalizi wa kimataifa kupuuza uchaguzi huo ni zile zile zilizosababisha chama chao kutohangaika na uchaguzi huo.
My take , wazungu wakipuuza jambo basi dunia nzima litapuuzwa .