Marekani: Mpangaji amfyatulia risasi baba mwenye nyumba wake

Super Villain

JF-Expert Member
Jan 2, 2019
9,390
21,041
Habarini za machana

Polisi mjini Las Vegas Marekani wameachia video hii inayomuonesha Mzee mmoja wa miaka 93 akimfyatulia Risasi mara mbili na kumjeruhi Baba mwenye nyumba wake kwa tatizo la kukosa Maji kwenye chumba chake kilichopo kwenye ghorofa la kupangisha maarufu kama apartments.

Polisi walimtia nguvuni na kwa sasa anakabiliwa na shtaka la kujaribu kuua.
Your browser is not able to display this video.
 
Nikajua ni Mbagala Maji Matitu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…