Marekani: Makasisi 700 wa kanisa katoliki watuhumiwa kuwalawiti watoto

Hauwezi kupata demu kwa kumponda mwanaume aliyenaye.
Catholic church is there to stay
 
Roman Catholic irudieni Biblia, sifa No 1 ya askofu (huwezi kua askofu kama hujawahi kua padre/mchungaji) kua na mke, imeandikwa, "...askofu awe ni mtu wa mke mmoja....." Sasa hiki kitendo cha kujitenengenezea utaratibu wenu wenyewe kwenye mambo ya Mungu athari zake ndio hizo, rudini kwenye Biblia nyie watu.
 
cheki Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
Alafu muslimu inaongoza kwa mashoga check Zanzibar bythe way wewe FaizaFoxy ni muhanga wa clergy abuse nn mbn una wachukia mapadre na wakatoliki by the way Tz wakatoliki ni 67% tukiamua kuanzisha mada za uislamu mbn utaondoka Jamiiforum???
ina onyesha uyo padre rafikiyako hakukuacha salama si ndio?????
Hiyo nakubali inamiliki mashoga wa dunia.
 
Halafu atheists wakisema hakuna Mungu mnawaona wabaya na watakaochomwa moto?
 
cheki Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
Alafu muslimu inaongoza kwa mashoga check Zanzibar bythe way wewe FaizaFoxy ni muhanga wa clergy abuse nn mbn una wachukia mapadre na wakatoliki by the way Tz wakatoliki ni 67% tukiamua kuanzisha mada za uislamu mbn utaondoka Jamiiforum???
ina onyesha uyo padre rafikiyako hakukuacha salama si ndio?????
Mada happy ni ukatoliki Zanzibar imeingiaje ...Uislamu happy umeingiaje ....mpaka job na lako nimeliona kwenye listing ya Makonda mi naona Bora mtibu matatizo yenu ya kwenye ukiristo mapdre na maaskofu walawiti kabla hujarukia huku kwetu
 
muslim na makundi mengine ya kidini yana Attack ingali hawajioni wao
 
Salamu Maria umejaa Neema, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa Tumbo lako amebarikiwa.

Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, tuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu.
Shauri yafo...wakesha kukaba
 
Kwani kuoa ni ufumbuzi? Jiulize wanandoa wangapi wanaacha ndoa zao na Hata kubaka!
Kwahiyo wewe unaona ushoga ni bora kuliko mapadri kuruhusiwa kuoa?duuuuh kweli wewe utakua choko
 
Wanaacha kuwabandua ma sister wana Wala watoto wa kiume hili Ni dhehebu la mashetani 666.
 
Kwahiyo wewe unaona ushoga ni bora kuliko mapadri kuruhusiwa kuoa?duuuuh kweli wewe utakua choko
Wanajifanya harufanyi wengine wanajifanya eti kumuiga bikira maria eti wanajiita masister kumbe wanafanya michezo ya umati wa nabii Ruti kimyakimya anazani binadamu anauwezo wa kubadili mfumo aliouweka mwenyezimungu ikiwa yeye anatujua zaidi kuliko tunavyojijua sisi wenyewe.
 
Back
Top Bottom