Marekani kupeleka ndege Asia na Ulaya

Marekani kupeleka ndege Asia na Ulaya

Kwahio Urusi kashindikana? [emoji16] Naona sasa wanaanza kuwapa Ukraine silaha za sumu wanadhani kuwa ndio itadhoofisha bakora ya Russia, walizoea kuzipiga nchi za kiarabu sasaivi mambo yamekua tofauti
Ukraine ilivamia Urusi ? hujui unashabikia nini ?
 
Sad news ni kwamba;

Ukraine kaamua hata aharibu mazingira na ardhi yao yenye rutuba

Hayo masilaha anayoletewa yana sumu mbaya sana katika mazingira kwa ujumla na afya za watu

Matumizi ya hizo silaha yameleta uongezekaji wa magonjwa ya cancer kule Iraq

Mwache ashupaze shingo ila sasa anaenda kuiharibu nchi si kiuchumi tu bali hata kimazingira na afya za wananchi wake
kwan ukraine kaivamia Urusi?
 
Kwahio Urusi kashindikana? [emoji16] Naona sasa wanaanza kuwapa Ukraine silaha za sumu wanadhani kuwa ndio itadhoofisha bakora ya Russia, walizoea kuzipiga nchi za kiarabu sasaivi mambo yamekua tofauti
na za Kirabu hakufanikiwa kuzipiga zote. Afghanistan Marekani walisanda game, wakwaachia Taleban nchi yao. Pale Syria pia walishindwa kumtoa Bashar Assad, wakamuachia nchi yake. Sio mara zote uonevu unalipa. Now Mexico anataka kujiunga BRICS aungane na Warusi na Wachina. Sipati picha itakuwaje, huenda ndio likawa poromoko la dola ya Marekani!
 
USA bila NATO hawezi uchezea kichapo, yeye utoa vifaa wapiganaji utegemea ulaya.
Hawana marinda hawawezi Kazi za kiume kuingia mtaa kwa mtaa
Wewe nahisigi shoga maana mda wote kuusema ushoga
 
Kwahio Urusi kashindikana? [emoji16] Naona sasa wanaanza kuwapa Ukraine silaha za sumu wanadhani kuwa ndio itadhoofisha bakora ya Russia, walizoea kuzipiga nchi za kiarabu sasaivi mambo yamekua tofauti
Mkuu kwani hujasikia huko Urusi wananongona na XI zaidi ya siku mbili vita iishe? kwani umewahi kusikia tena habari za Wagner Group
 
kwan ukraine kaivamia Urusi?
Lakini Ukraine ikae ikijua kwamba wakikubali kulubuniwa na Uingereza kwamba jeshi la Ukraine lianze kutumia depleted Uranium shells kwenye vifaru vyao pamoja na mizinga, nakihakikishia hakuna nchi hata moja Duniani itakayo kubari kununua ngano na mafuta ya alizeti vinavyo zalishwa kwa wingi nchini Ukraine kutokana. na udongo wao wa mashamba kuwa contaminated na DU dust ambazo ni still radio active zinanyonywa na mizizi na kuingia kwenye nafaka za ngano na alizeti sasa ukila chakula ambacho ni contaminated na mionzi utapata matatizo ya kiafya eventually ingawa hilo hawataki kuliweka wazi kimakusudi.
 
Wapeleke zikakutane na ndege mpya za Uchina, Urusi na North korea
Ukiwekea maanani kwamba ndege za Merikani zinazo aminika kimapigano ni zakizamani eg F-14, F-15, F-16 na F-18 lakini hizi wanazo zipigia debe kila siku mfano: F-22 na F-35 hamna kitu ziligharimu fedha nyingi za walipa kodi wa Merikani lakini linapokuja suala la kivita zitachakazwa na ndege za Warusi mapema sana - F-22 na F-35 kila siku spana mkononi na maintainance costs kibao.

Ndege ambayo Merikani wanaiitegemea sana ni F-16.

Lakini cha ajabu miaka kama mitatu hivi F-16 ya Pakistani ilitunguliwa na MiG-21 ya India kumbuka MiG-21 zilianza kuundwa in 1955 worse still MiG-21 is faster than F-16,F-22 and F-35 would you believe it - which means MiG-21 ikiwekewa modern avionics, A-A missiles na A-G missiles pamoja na mabom inaweza kushindana na modern US fighter planes.
 
Sikuwahi kufikiria kama Ulaya ndo ndogo kiasi hiki kwa Marekani, China na Urusi linapokuja suala la vita. Yaani ndo inaenda kulindwa dhidi ya Urusi au China?!!!!

Au labda mi ndo sielewi, ina maana maana Urusi pekee anaweza kupigana na Ulaya?
Hapana. Urusi hawezi kupigana na Ulaya tu. Urusi anaweza kupigana na dunia nzima na akashinda.
 
Wanahangaika hawajui nini wafanye kwa urusi maana mandege yao yanatunguliwa
 
Serikali ya Marekani kupitia Wizara ya Ulinzi, Pentagon, imesema kuwa itahamisha ndege vita mpya kutoka Mashariki ya Kati na kuzipeleka Ulaya na Asia, huku Zile za zamani zikipelekwa Mashariki ya Kati.

Haya yanafanyika ili kukabiri vitisho toka Urusi, China na Korea Kaskazini.

Naona mdogo mdogo kazi inaanza

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Graciaous Amerigo! Thank you America!najiuliza bila kuwepo marekani dunia hii ingekuwaje? lazima tujue kuwa ule mfumo wa kizamani wa mtu mmoja kutawala milele bado kuna baadhi ya nchi wanaunyemelea baada ya china kumpatia kiti cha milelel capteni wao.demokras imeenea karibia robo tatu ya dunia kila mtu ana haki ya kuwa mtawala kupitia chama chake!
 
Hapana. Urusi hawezi kupigana na Ulaya tu. Urusi anaweza kupigana na dunia nzima na akashinda.
ukiamini mungu yupo na nchi za ulaya magharibi ndizo zilizomtangaza duniani basi lazima ujue Urusi ni mnyonge milele kwa UEFA na NATO! tena lazima ujue ya kuwa German ya Hitler ilikuwa na siraha kali sana za kivita ikisaidia na ubora wa jeshi lenye nguvu. lakini German. Italy na Japan walipigwa vibaya na UEFA ikiongozwa na marekani mpaka ikameguka vipande viwili.
 
umefika wakati sasa mataifa yalileta maudhi kwa mungu URUSI, Iran na CHINA kumeguka. lazima ukumbuke sera za kutawaliwa kimaudhi zilianzia China na Urusi.
 
Back
Top Bottom