Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria

Marekani kuondoa wanajeshi wake Syria

Naona us kuondoa majeshi saizi kunasababu zaidi ya moja kwa mtazamowangu.

1,Us wana kabiliwa na kitisho cha Russia ambao wana mpango wa kuweka mfumo wa ulinzi kwenye anga lote la syria.
Kwa hiyo us watashindwa kutumia ndege zao kufanya wanachotaka.

2,Ikiwa urusi wata wazuiya kuruka katika anga la syria manayake watatakiwa kuruka kwa nguvu nandio itakuwa kuingia vitani na urusi na kufanya syria uwanja wa mapambano.

3, Kama syria ikiwa uwanja wa mapambano kati ya Us na urusi then kuna haja ya kuangalia faida na hasara.

Cha kwanza us wangependa kuona wakiingia vitani na Russia wangetaka kuona Russia inapata direct effect nyumbani kwake.
Kwa hiyo kama ni kuingia kwenye vita na Russia nibora iwe kupitia Ukraine na sio syria.

Hasara kubwa ambayo wanaweza kuipata Us kwa kuingia vitani syria ni kuhatarisha maisha ya marafikizao/ Ndugu zao Israel.

Maana Irani na urusi wanaweza kuamua kuishambulia Israel kama sehemu ya mapigano ama kulipiza kisasi.

Kwahiyo naona Us wameamua kuchapa mwendo kistaarabu kabla hawaja lazimishwa ili kukwepa aibu.

Sababu nyingine nikuhofia kujiharibu kiuchumi kwakuwa wakiingia vitani china watawapiku kirahisisana.

Kwa hiyo ukiwauliza US wangependa kuzipiga na nani kati ya Urusi na china nadhani watapenda waanze kuzigonga na china ili kuvuruga uchumiwao.

Kwakuwa wanaweza kupigana nae wakiwa mbali na nyumbani sababu wana access ya kuwakaribia kupitia Japan, Korea kusini ama Taiwan na sehemu zingine.

Hataivyo wanaweza kuingia vitani na Urusi iwapo tu kutakuwa na ulazima mkubwa.
Mbona Urusi ana mifumo yake ya Ulinzi kule Syria tangu kipindi kile ndege yake ilipotunguliwa na Uturuki,lakini Marekani kaendelea kurusha ndege zake Kama kawaida.
Marekani na Urusi kule Syria wana makubaliano yao ambapo kila mmoja humtaarifu mwenzie mahali na muda ambao atarusha ndege/kufanya mashambulizi ili kuepusha ajali ambayo inaweza kuleta mgogoro Kati ya Nchi hizo mbili.
 
sidhan kama erdogan ana jeuri kwa urusi
Erdogan akili zake anazijua mwenyewe ndo maana Putin anacheza nae kwa akili hakurupuki. Kuna kipindi unamkuta anasema Assad ni dikteta na atolewe madarakani Asubuhi akiamka anasema Assad abaki madarakani tena wanakaa meza Moja pamoja na Urusi na Iran kujadili.
Kiboko yake alikua ni Trump,erdogan alimpiga mikwara Trump,Trump akaamua kuongeza tarrifs kwenye Chuma na alumini toka Uturuki kwa zaidi ya 50%,fedha ya Uturuki ikaanza kuporomoka (hadi pale Qatar alipoamua kuja kuiokoa Uturuki) Erdogan akaamua akamwachia yule Pastor wa US alyekua akishikiliwa Uturuki ili yaishe.
 
fact lkn mm naona erdogan yupo nato ili kulinda uchumi wake tu

vip na ule mpango wakununua S-400 kauacha au
 
fact lkn mm naona erdogan yupo nato ili kulinda uchumi wake tu

vip na ule mpango wakununua S-400 kauacha au
Sidhani kama ataacha ila inawezekana maana Leo state department wamepitisha ombi la Uturuki kununua Patriot missile defense kwa $ 3.5bn ambapo hapo mwanzo walikataa ndipo Uturuki ikaamua ilipize kwa kwenda kununua S400 kwa mkopo toka Russia.
 
S-400 inaonekana ni bora kuliko patriot lkn
 
Ila Trump hii sera yake ya America first Sasa inapoendea sio pazuri,unaondokaje Syria wakati una Urusi,una Iran una Hezbollah wamejizatiti na bado wanaendelea kujichimbia mizizi kule(Syria). INAHUZUNISHA!!!
Hii Ilikwisha Julikana Toka Zamani Kuwa Ataviondoa Hivyo Vikosi. Na Muda Wenyewe Ndio Huu!

1545331461088.png
 
Ndio, na US hataki kuvurugana na uturuki bila sababu ya maana.
Kuna taarifa zinasema turkey wanakubaliana na US kuuziana silaha ikiwemo F-35 ili kuharibu mpango wa manunuzi ya S- 400 za urusi.

Na dili ya S- 400 kwenda turkey ikibuma basi tutaona kitukinginge kigumu kati ya urusi na Turkey.
Wewe acha kutulisha matango poli pesa za s-400zilishalipwa kitambo na mwakani uturuki anaanza kukabidhiwa huo mfumo.
 
S-400 inaonekana ni bora kuliko patriot lkn
Yapo Madai Kuwa S-400 Ni Bora Zaidi Kuliko Patriot. Lakini Kubwa La Msingi Tukitazama Ni Jinsi Gani Systems Hizo Zimeweza Kuonesha Uwezo Kwenye Mapambano. Mpaka Hivi Sasa Patriot Imekuwa Well Battle Tested Kuliko S-400 Na Zimeonesha Uwezo Mkubwa Mfano Kule Saudia Au Hata Kule Iraq Na Zimeendelea Kufanyiwa Maboresho Zaidi Kwa Baadhi Ya Mapungufu Yaliyoonekana.

Kwa Upande Wa S-400 Bado Hazijapata Kipimo Cha Kutosha Sana Katika Uwanja Wa Mapambano. Pamoja Na Kuwa Kuna Madai Ya Kuwa Uwezo Wake Ni Mkubwa Sana Lakini Ni Ngumu Kujua Mapungufu Au Udhaifu Uliojificha Wa Mitambo Hiyo Bila Ya Kuzijaribu Vya Kutosha Katika Uwanja Wa Mapambano. Mfano Hata Kule Syria Hazijaonesha Uwezo Wa Kiasi Cha Kujiridhisha Kuwa Ni Bora.
 
Hio S-300 iliyoko huko Syria baada ya kufungwa tu hatujaona Israel ikiingiza ndege zake tena ndani ya Syria.

Je hio S-400 si itakua super sana?
 
S-400 inaonekana ni bora kuliko patriot lkn
Yeah S400 ni ya kisasa zaidi kushinda Patriot maana ni ya juzijuzi tu hiyo Patriot ni ya tangu miaka ya 80 huko wanafanya kuiboresha japo nayo iko vizuri maana Saudi Arabia ndo wanaitumia kutungua makombora ya wahouthi,na washatungua zaidi ya makombora Mia Moja ya ballistika.
 
Back
Top Bottom