Marekani kulipizwa

Wafuasi wake wapo, ndugu zake wapo, sidhani kama watakubali hii iende kimya kimya

Jamani wengine si mmeshasema eti hajafa na CIA na Obama wamecheza usanii tu? Sasa hapa tuwaelewe vipi? Kama hajafa then kwa nini nduguze walipize kisasi?
 
Baada ya kufa Kwa Osama na kukamatwa documents lundo toka kwenye maficho yake Magaidi wengine watakaoendelezea tabia yake wataendelea kukamatwa na kuwa executed extrajudicial style kama kiongozi wao, halafu watetea haki za binadamu wataendelea kulaani marekani kwa staili ya kelele za kuku hazimpati mwewe mpaka infinity- Sorry mpaka kiama.

Nadhani Hakuwa mjinga wa kuweka siri zote mahali pamoja.
 
Back
Top Bottom