Jamaa anaongea ongea ujinga tu, Yeye aaongelea imagination za Biden wakati wenzao Russia kule wanafanya realityPro-America na vyombo vyao vya propaganda washa pigwa ni kitu kizito kichwani majimbo yamekwenda kiwepesi kabisa uku Baba yao USA na wake zake wa ulaya wakibaki kupiga domo Kama wanawake wa pwani
huyu boya kweli , Urusi anatishiwa vikwazo , Urusi wameanza kuwekewa vikwazo tangu kuvunjika kwa USSR huko na bado wali survive na kufika hapa walipo labda tumkumbushe huwenda anadhani Russia Ni BurundiEti Urusi imeshikwa pabaya na vikwazo hiyo Urusi imekua inasurvive na vikwazo haviishi kila leo
Marekan ana propaganda sana ila man of action anamsubiri ajae aone shughuli ya s 800 ndio atajua hajui na hivyo bindege vyake vilivyo km popoBelarus Ni rafiki wa Urusi na mpaka Sasa Kuna jeshi la Urusi pale Sasa marekani atawezaje kuingiza jeshi lake pale
Naona Sasa USA ameanza kulaghai ulimwengu
Unaongelea Cuba na Venezuela zilizolainishwa na Papa Yohane Paulo II na kisha zikapatanishwa kwa Marekani na Papa Francis? Hizo hazina msaada kwa Urusi kwa sasa.Cuba na Venezuela Urusi ataweka vyuma pale vikitazama U.S.
Ngoja tuone mwisho wake.
Mkuu nenda kasome tena history pepar II ADVANCE halafu ndio uje na chai zako km sio kahawa iliyokosa ....soma movement ITALIAN UNIFICATION ,SOMA GERMANY UNIFICATION , NA SASA NI ZAMU YA RUSSIA UNIFICATION...
Mkuu umeandika kwa hisia zako tu! Ukitaka kuyaelewa haya mambo usishabikie upande wo wote.Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi....
Kuna hypersonic huko, Marekani vita ambayo nae anaweza kupigwa kwake anaiweza? kazoea hizi proxy wars kajiandaa vizuri kwa sasa kutopigwa kwake. Putin alishamalizana na Xi huko isije katikati ya ngoma china nae akaliamsha Taiwan......mmarekani ataweza kujitetea asiguswe kwake?????Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi...
😝😝😝😝😝 Uko serious?Ndio mwanzo wa Marekani kuishambulia Moscow
The same to RussiansHakuna Rais wa US anaetamani kuingia Moscow
Hamna vita za namna hii.Kuna hypersonic huko.........Marekani vita ambayo nae anaweza kupigwa kwake anaiweza? ...............kazoea hizi proxy wars kajiandaa vizuri kwa sasa kutopigwa kwake............Putin alishamalizana na Xi huko isije katikati ya ngoma china nae akaliamsha Taiwan......mmarekani ataweza kujitetea asiguswe kwake?????
Ubabe kwa zama hizi sio lazima kurushiana risasi, kujua kucheza kete zako tu na ku control narrative ya mambo basi. inawezekana kutorushiana risasi ila narrative ya mambo lazima itabadilika, kinachotokea sasa ni mtu kukerwa na ubabe wa kiboya wa upande fulani.Hamna vita za namna hii.
Soma tu historia vizuri za vita za mataifa zilizowahi kutokea...
exactly.. but putin has shown his guts to Nato, since nato is no longer interested with war we are expecting to see many weird things in this period.The same to Russians
Putin alijua vizuri tu kwamba sanctions zitafuata, ndugu Yello Masai. Kwa sababu, hiyo habari kuhusu vikwazo imekwishasemwa miezi kadhaa kabla ya utekelezaji. Kama alijipanga ama hakujipanga, hiyo ni habari nyingine.Hivi mnafikiri Putin alikuwa hajua kama kifuatacho ni sanctions? Mnafikiri hakujipanga kwa hilo?
Jambo la kujiuliza kwa nini asiingie Ukraine ambapo atapata moral support, upande wa Magharibi una waukraine wengi ambao watamsapoti na wapoland ila Belarus ambako vikosi vya kirusi vimeweka Kambi Hilo ni debe tupu tu halikosi kutika mmarekani kapuyanga.Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi....
Mamluki wa USABiden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi...
Hivi unamjua Mrusi wewe!?Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi...