Marekani kuchimba madini kwenye mwezi

Marekani kuchimba madini kwenye mwezi

kumbe hawa jamaa hata mwezin tuu hawajawai tua ila kwa kuongopea walimwengu hawajambo, ile project ya apollo11 mission ulikuwa usanii mtupu lakini bado kuna wajinga bado wanauamini huo usanii
 
Hivi fomular ya kutengeneza madini inaonekana ipo mpaka kwenye sayari zingine hivyo basi si ajabu hata viumbe wengine wakawepo huko huko juu
 
Back
Top Bottom