jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 11,010
- 10,674
Ila Afrika tujilaumu sisi wenyewe na viongozi wetu. Hatuko serious, mikopo, rushwa, kutokuwa na msimamo kumetupelekea kuwa mzigo kwa howo USA na EU!
Tujilaumu raia kwa kuchaguwa viongozi wabovu, wabinafsi na wasio na maadili..
Tujitambuwe raia nawo watatuelewa tu
Tujilaumu raia kwa kuchaguwa viongozi wabovu, wabinafsi na wasio na maadili..
Tujitambuwe raia nawo watatuelewa tu