Marekani inajiweka tayari kuishambulia Iran

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,628
Reaction score
5,425
Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa kama C-5 Galaxy na C-17 Globemaster, hali inayoashiria kuimarishwa kwa nguvu za kijeshi.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo huenda inahusishwa na maandalizi ya uwezekano wa mashambulizi dhidi ya Iran, kufuatia kuongezeka kwa mvutano, onyo za kisiasa na harakati za kijeshi katika eneo hilo.

==========
Over the past several hours, a large number of U.S. Air Force aircraft have been seen leaving bases in the United States and from an American airbase in the United Kingdom. These include aerial refueling tankers and heavy transport planes like the C-5 Galaxy and C-17 Globemaster, which are used to move troops, equipment, and supplies over long distances.

The aircraft are heading toward the Middle East, suggesting a major military buildup. Aerial refueling tankers are especially important because they allow fighter jets and bombers to stay in the air longer, which is often needed during large-scale military operations. Heavy transport planes usually carry armored vehicles, missiles, or additional forces.

According to various reports and analysts, this movement may be linked to preparations for possible U.S. strikes against Iran. Rising tensions in the region, along with recent warnings and military activity, have fueled speculation that Washington is positioning forces in case the situation escalates further.
 
Hadi kombora litue geto kwako hapo Yombo Vituko ndio utaelewa maana ya dunia kuchangamka.

Kwa sasa endelea kuenjoy maisha ya watoto wa Iran yalivyo mashakani.
Wakati iraki inataka kupigwa na bush snr mwaka 1990 tulitishwa hivihivi na kipindi hicho ndio baba mtakatifu Paulo wa pili anakuja Tanzania matokeo yake iraki ilipigwa na hakuna hata kombora lilidondokea somalia achilia mbali bongo watoto wa Daslama enzi hizo ndio tunatamba mjini.
 
Iran wajihadhari sana kwa wakati huu, marekani huenda wakadondosha biological bomb kuichafua iran na magonjwa sugu ila mmarekani anahofia madhara ya nuclear bomb. Mwaka huu Trump huenda akatimiza kile alicho ahidi muhula wa kwanza "to deal with terrorrist with iron fist"
ifikiapo hatawajibishwa nchini kwake (marekani) nahofia kuwa tutayashuhudia mengi. China pia wajiandae kufikiwa na wakifikwa madeni watayajia kwa kutushurutisha waafrika. France ikisimana itakuwa vizuri. Wazo langu tu na sio lazima yatimie.
 
Wakati iraki inataka kupigwa na bush snr mwaka 1990 tulitishwa hivihivi na kipindi hicho ndio baba mtakatifu Paulo wa pili anakuja Tanzania matokeo yake iraki ilipigwa na hakuna hata kombora lilidondokea somalia achilia mbali bongo watoto wa Daslama enzi hizo ndio tunatamba mjini.
Sidhani kama umenielewa.
 
Ndege nyingi za Jeshi la Anga la Marekani zimeonekana zikiondoka katika kambi mbalimbali nchini Marekani na pia kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani nchini Uingereza, zikielekea Mashariki ya Kati. Ndege hizo ni pamoja na za kujaza mafuta angani na ndege kubwa za kusafirisha wanajeshi na vifaa kama C-5 Galaxy na C-17 Globemaster, hali inayoashiria kuimarishwa kwa nguvu za kijeshi.

Wachambuzi wanasema hatua hiyo huenda inahusishwa na maandalizi ya uwezekano wa mashambulizi dhidi ya Iran, kufuatia kuongezeka kwa mvutano, onyo za kisiasa na harakati za kijeshi katika eneo hilo.

==========
Over the past several hours, a large number of U.S. Air Force aircraft have been seen leaving bases in the United States and from an American airbase in the United Kingdom. These include aerial refueling tankers and heavy transport planes like the C-5 Galaxy and C-17 Globemaster, which are used to move troops, equipment, and supplies over long distances.

The aircraft are heading toward the Middle East, suggesting a major military buildup. Aerial refueling tankers are especially important because they allow fighter jets and bombers to stay in the air longer, which is often needed during large-scale military operations. Heavy transport planes usually carry armored vehicles, missiles, or additional forces.

According to various reports and analysts, this movement may be linked to preparations for possible U.S. strikes against Iran. Rising tensions in the region, along with recent warnings and military activity, have fueled speculation that Washington is positioning forces in case the situation escalates further.
Ayatollah aondoke tu, maana watamkamata halafu wamnyonge kama Saddam na sasa Maduro. Iran imekuwa ya ovyo tangu walivyompindua Shah na kuleta mapinduzi ya Kiislaam. WATAPIGWA TU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom