singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Mara baada ya uchaguzi mkuu October 2015 na yaliyotokea Marekani ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania. Sababu mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar na 2) Kutaka kujua kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa dola.
Majuzi baada ya uchaguzi Zanzibar Marekani ililalamika kwa uchaguzi kufanyika bila waliogoma kushirikishwa.
Marekani inajiona inakosa nini Tanzania kuwa salama na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
'ELISA MUHINGO' (Wanabidii)