The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Duh naona ngeli hapo umetemaKenya? Have you been there?
Tanzania huwa hatupo kwenye categories za ajabu ajabu sisi ni wajamaa
Hata urusi Huwezi kuiona kwenye categories hizo
Mkuu ni hatari tupu, kila kitu kizuri cha Nchi jirani Wakenya wanatangazia Dunia nicha kwao!Kenya hii hii ninayoijua.hahahahahaha
Duh naona ngeli hapo umetema
Ova
Hapo wako sawa hata kama ikarimu wao unasababu nyuma yao. Wanatoa ARV bure mpaka ndomu bureee duuuuhhiyo ipo wazi... kwa hisani ya watu wa marekani..
Mwanangu umeniachaaaa msata hapoHahaha hujaelewa kitu kamanda