Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

Kenya hii iliyokataa kusaidia ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika ?
 
Wamarekani kweli ni wakarimu sana wengi wao
Kuna jamaa yangu ni chauffeur anasema katika watu wanaoongoza kutoa tip ni USA na Japan

Hakuna nchi kama marekani. Ni wapi, unaweza kwenda na kuishi kama kwenu? Kuna makosa hapa na pale lakini kamwe hata sisi tu kwenda Kenya kuna challenges sembuse nchi kama russia au china?

Godbless the United States of America.
 
Haya mambo ya tips ni kama mila tu,kuna nchi hazina huu utamaduni wa tips,mfano Thailand wamepiga marufuku haya mambo ya kutoa tips sehemu yeyeote ile.
 
Hii kitu ni uongo kabisa hakuna watu ambao ni aggressive kama wamarekani nimeishi nao nawajua hawa wadau wana msemo wao kuwa hawana rafiki wala adui wa kudumu bali Masirahi yakudumu, halafu then mnasema Kenya kweli mnaacha nchi kama Tanzania
Kenya ukiniambia ukarimu wa kushobokea wazungu kwa vile ngeli inapanda kwao hapo nitakuelewa
 
Tanzania ingekuwemo kwenye nafasi za juu,lakini imeharibiwa na hivi vijamaa vilivyozaliwa miaka ya 1990 kuja mpaka sasa. Hivi vijamaa vina roho mbayaaa hatari. Diamond tu vinamuonea wivu mbayaa,vinatamani hata aanguke kesho tu.
 
Nchi za waarabu zipo kwenye category ya watu wenye roho mbaya zaidi na uuaji
 
Tanzania tumewasaidia wenzetu kupata uhuru pia bado leo tunatunza Wakimbizi wa nchi mbalimbali.
Tumeisaidia D.R.C kupambana na waasi nadhani na sisi tutakua ktk nafasi nzuri
 
Back
Top Bottom