Hongera Zao Kwahio Sasa Nahisi US Anaweza aakaingia Vitani Na Kumpiga RUSSIA Fasta 2 .........Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi nchini Syria iitwayo Kheimim Air base.
Katika siku za Marekani imekuwa ikijaeibu kupitisha ndege zake za kivita karibu na kambi hiyo..
Inasemekana kwamba kupatikana kwa frequency hizi kunaweza kufanya Rada ya za makombola hayo kujazwa tageti bandia katika mapambano ya kijeshi..
Kwa habari zaidi link hii chini..
Turkish military withdraws from key Idlib post amid reports of Syrian Army offensive: video
BEIRUT, LEBANON (9:20 P.M.) - The Turkish Armed Forces unexpectedly withdrew from one of their key observation pots in the Idlib Governorate today amidwww.almasdarnews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
walishindwa kupata frequency za drones za waasi,mpaka wakalipua saudia,leo wanatudanganya wameijaribu s400,,huo ni moto,hautestiwi kijinga..Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi nchini Syria iitwayo Kheimim Air base.
Katika siku za Marekani imekuwa ikijaeibu kupitisha ndege zake za kivita karibu na kambi hiyo..
Inasemekana kwamba kupatikana kwa frequency hizi kunaweza kufanya Rada ya za makombola hayo kujazwa tageti bandia katika mapambano ya kijeshi..
Kwa habari zaidi link hii chini..
Turkish military withdraws from key Idlib post amid reports of Syrian Army offensive: video
BEIRUT, LEBANON (9:20 P.M.) - The Turkish Armed Forces unexpectedly withdrew from one of their key observation pots in the Idlib Governorate today amidwww.almasdarnews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc warussia wamusoma 2nakubaliana kabisa na hili suala kwahio 2naomba wakapitishe vichata vyao pale MOSCOW Kidogo 2 sio sana
Hayo madude hayawezi kuwa na frequency moja kama vile wanapangiwa na TCRA!
Tupe ya ukweli, otherwise, hii yako ndio bandia.Habari bandia
Hayo madude hayawezi kuwa na frequency moja kama vile wanapangiwa na TCRA!
Nimecheka kinyama kama wanapangiwa na nani ?!Hayo madude hayawezi kuwa na frequency moja kama vile wanapangiwa na TCRA!
ππππππ Bila shaka ni kamati ya Ze kukoyo, ndio imeleta huu uzushi! Huku wakichungulia Senate wana semaje kuhusu impeachment!Nimecheka kinyama kama wanapangiwa na nani ?!
Kwanza kama ingekua kwel jamaa wamegundua hilo swala anahisi wangelieka hadharani namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
HeheheheheHongera Zao Kwahio Sasa Nahisi US Anaweza aakaingia Vitani Na Kumpiga RUSSIA Fasta 2 .........
Sent using Jamii Forums mobile app