Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,666
- 7,112
Na asipoangalia watamuua kama ndugu yakeHuyo hawezi kuwa rais wa marekani analalama mno
Na asipoangalia watamuua kama ndugu yakeHuyo hawezi kuwa rais wa marekani analalama mno
Tangu lini marekani Kawa mhanga wa ISIS!?..kwa nini marekani inajua habari zote za matendo ya ugaidi yanayotaka kutokea!?..wewe na Kennedy ambaye ni mgombea urais marekani nani anajua zaidi!?.. CIA wakifanya biashara ya dawa za kulevya ili wapate fedha za kuendesha operesheni zao wakati huohuo walikua na dea ya kuoambana na dawa za kulevya, marekani alimpa silaha Iraq na Iran Vita vya 80s na wakati huohuo akiwa upande wa iraqHii ni mbinu feki inayotumiwa na wale wanaunga mkono ✋ uislamu kujitetea kwa tuhuma za waumini wao kuhusika kufanya vitendo viovu duniani.
Marekani ataundaje genge la kigaidi halafu yeye huyo huyo ndiye awe mhanga mkuu wa huo ugaidi na kwa nini Marekani huyo huyo tena ndiye ahusike katika kuwauwa hao magaidi?
Kwa nini waislamu ndio wakubali kutumika katika vikundi hivyo vya kigaidi karibu kote duniani kwa nini wasiwakatalie wamarekani...???
Mnajaribu bila mafanikio kuutenganisha uislamu na ugaidi kwa sababu piga ua magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni wa imani ile ile na cha ajabu wenyewe hawajawahi kusema kwamba wanaitumikia taifa la Marekani bali wanadai kumpigania mungu wao mnyonge asiyeweza kujitetea eti mpaka apiganiwe na hao magaidi. Bure kabisa.
Jinga hiloHao waarabu walioko marekani ni asilimia 0.00001,atapata kura ngapi mpaka wamuunge mkono.
Aseee hii nchi ipo smart sana yaani wanajua kucheza na akili za watu wanajua jinsi ya kumanipulate, hili game waliosoma cuba walishalielewaMwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)
Apr 21, 2023 08:22 UTC
[https://media]
Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi wa urais mwaka ujao, amekiri kwamba nchi hiyo ndiyo iliyounda kundi la kigaidi la Daesh (ISIS).
Robert F. Kennedy Jr mwenye umri wa miaka 69, mpwa wa rais wa zamani wa Marekani, John F. Kennedy , amesema kwamba: "Polisi wa nchi hii ni wafisadi, tulitengeneza kundi la kigaidi la ISIS na tumetuma wakimbizi milioni 2 Ulaya na kuyumbisha demokrasia barani humo, hali iliyosababisha Brexit na kujiondoa Uingereza katika umoja wa Ulaya."
Mwanasiasa huyo wa chama cha Democratic na mpinzani wa Joe Biden ameongeza kuwa, hii ni sehemu ya gharama za vita vya Iraq vilivyotumia jumla ya dola trilioni 24.
[https://media]Robert F. Kennedy
Kennedy amesisitiza kuwa, gharama hizo hazikuwa na faida yoyote isipokuwa uharibifu kwa tabaka la kati la Marekani na kuna ulazima wa kukomeshwa hali hii.
Mwanasiasa huyo wa Marekani amekosoa sera ya kigeni ya nchi hiyo akakiri kwamba mkakati wa Marekani siku zote umekuwa kutumia silaha za kijeshi kwa ajili ya kutunisha misuli duniani kote.
Zaidi ya miaka ishirini iliyopita, Machi 20, 2003, George W. Bush, rais wa zamani wa Marekani, aliamuru mashambulizi dhidi ya Iraq bila idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kinyume cha sheria kwa ushirikiano Waziri Mkuu wa Uingereza, Tony Blair.
Mashambulizi na uvamizi wa Marekani na Uingereza dhidi ya Iraq ulipelekea kuuawa malaki ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo.
Itakumbukwa kuwa awali aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump pia alikiri kuwa nchi hiyo ndiyo iliyounda na kuazisha kundi la kigaidi la Daesh lililofanya mauaji ya kutisha na jinai zisizo na mfano katika nchi kama Iraq na Syria.
Ukiwa kama mkristo huko marekani,Kodi za kila namna zimekuandana mpaka unachukua two jobs Ili maisha yasonge!Hapo hapo mgombea urais anakueleza jinsi Kodi Yako inavyotumika,hapo akaelezea kama mleta mada alivyoreport!Je,hutashawishika kumchagua?Iweje uegemee kuwatusi waislamu pekee kuwa watakaomchagua basi ni wajinga?kwanza unajua jamii zinazounda nchi ya marekan ? Marekan inaundwa na kila jamii so huyo anatafita huruma tu ili aungwe mkono na wajinga ya kiarabu yenyr uraia wa marekan
Kwa nini magenge ya kigaidi yote yanaundwa na waislamu? Jibu kwanza hili.Tangu lini marekani Kawa mhanga wa ISIS!?..kwa nini marekani inajua habari zote za matendo ya ugaidi yanayotaka kutokea!?..wewe na Kennedy ambaye ni mgombea urais marekani nani anajua zaidi!?.. CIA wakifanya biashara ya dawa za kulevya ili wapate fedha za kuendesha operesheni zao wakati huohuo walikua na dea ya kuoambana na dawa za kulevya, marekani alimpa silaha Iraq na Iran Vita vya 80s na wakati huohuo akiwa upande wa iraq
Kwa nini magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni waislamu? Nauliza tu lakini sipati jibu.Naona umeamua kujitoa ufaham kwa chuki zako inasikitisha sana,,, Get well soon!!!
Kwa nini magenge yote ya kigaidi lazima utakuta wafuasi wake ni waislamu? Nauliza tu lakini sipati jibu.Naona umeamua kujitoa ufaham kwa chuki zako inasikitisha sana,,, Get well soon!!!
Kwa sababu ni ideology/itikadi, huwezi unda jeshi Kama hakuna itikadi,ujamaa ilishakufa so huwezi unda jeshi kwa misingi ya ujamaa,ideology inayopambana tangu 1980s Hadi Leo ni uislam..so hapo ndo Pana loopholeKwa nini magenge ya kigaidi yote yanaundwa na waislamu? Jibu kwanza hili.
Mkikosa hoja mnaleta mambo ya ushoga ili kujihami, ushoga ulioletwa Afrika Mashariki na hao hao waliowaletea utamaduni wao wakauita eti dini sasa kama ilikuwa ni dini kwa nini uletwe na ushoga vilevile.?Sasa huyo alieongea hvyo ni muislam mbona watu wa LGBTQ mnakuwa na akili za hovyo unaambiwa anaetoa matamshi hayo mgombea urais wa usa ww unaongea unachojua ww kuwa mbinu ya kujitetea wa islam au huyo kenedy nae muislam?punguza chuki zisizo na mpango
Kama shida yao ni hiyo hao LGBTQ, hata alyeongea ni walewale, unaanzaje kumwamini ikiwa wote hao hawana akili?Sasa huyo alieongea hvyo ni muislam mbona watu wa LGBTQ mnakuwa na akili za hovyo unaambiwa anaetoa matamshi hayo mgombea urais wa usa ww unaongea unachojua ww kuwa mbinu ya kujitetea wa islam au huyo kenedy nae muislam?punguza chuki zisizo na mpango