Marekani hawezi kushinda hii vita

Marekani hawezi kushinda hii vita

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,099
Reaction score
2,403
Nilikuwa naangalia Al-Jazeera nikaona mahojiano ya John Mearsheimer (msomi maarufu wa siasa za kimataifa)

Anasema , mashambulizi ya anga pekee haijawahi kufanikisha kufsnya regime change katika historia.

Ili kubadilisha serikali ya Iran, lazima kuwe na askari ardhini (boots on the ground) kama ilivyofanyika Iraq. mashambulizi ya anga yanaweza kuondoa viongozi wakuu lakini bado mfumo wa serikali kuubaki imara .

Pia vita hii Inaifaidisha Urusi kwa sababu:
Inasababisha mgogoro wa mafuta ,bei inapanda na Urusi anauza mafuta kwa bei kubwa

Inaifanya sanctions za Marekani zisiwe na nguvu na ,pia inapunguza uwezo wa Marekani kutuma silaha Ukraine

Na China nae anafaidika kwa sababu:
Inaongeza ushawishi wake Mashariki ya Kati
Inaonekana kama nchi yenye busara ukilinganisha na Marekani

Pia anasema:
Marekani haina akiba ya silaha za kisasa za kutosha kwa vita ndefu Kiongozi wa jeshi (Chairman of Joint Chiefs) alimshauri Donald Trump kuwa:

"Vita ndefu na Iran inaweza kuiweka Marekani kwenye matatizo makubwa"

Lakini kuna watu kwa mapenzi yao na Marekani ukiwaambia Marekani anapoteza hii vita wanakuona wa ajabu ,wanaona ukubwa wa jeshi la Marekani, wanahitimisha moja kwa moja USA anaweza kushinda vita yeyote kwa muda mfupi,Lakini kwenye siasa za vita, mambo si rahisi hivyo.

Ni ukweli United States ina jeshi lenye nguvu zaidi duniani si kuliko Iran pekee almost dunia nzima lakini kama nilivyosema mambo sio mepesi hivyo

Hata historia inaonyesha wazi
Vietnam War Marekani ilikuwa na nguvu kubwa sana lakini ilishindwa

Afghanistan
Marekani + NATO walikaa miaka 20 mwisho wakaondoka bila ushindi

Vita si ukubwa wa jeshi , ni strategy na mazingira

Kijiografia Iran ina milima mingi ina mazingira magumu kwa kuvamia na askari wa ardhini

Lengo la vita linaamua mshindi nani, kama lengo ni kufanya mashambulizi Marekani anaweza,Lakini kama ni kufanya regime change hio kitu ni ngumu
 
Nikikumbuka propaganda za Chemical Ally. Nachoka kabsa.
 
Katika watu wapumbavu duniani wewe umo kwenye list tena ukawa namba moja, haya mahaba niuwe ya dini kashushie na futari ya magimbi na uji uliochanywa na maziwa ya ngamia yaliyoletwa kwa msaada toka kwa mabasha wenu huko Arabuni..
 
Matusi si hoja. Sasa umemjibu nini?
Matusi matusi matusi
 
Kuna njia nyingi za kusababisha regime change ikiwa ni pamoja na kuwafanya wananchi wao wapinge utawala kwa mateso wanayoyapata.

Pili ni kuwa malengo huwa yanabadilika kila uchwao kutegemea na hali halisi. Siamini mpaka sasa US lengo kuu ni immediate regime change.

Tatu, kwa sasa linalowauma sana US ni lile lango kutofunguka tu. Wanaweza kukubali yaishe ili wajiandae warudi upya.
 
Ndiyo, ni kweli kabisa kwamba mabadiliko ya utawala kwa njia ya nje mara nyingi huhitaji Marekani kuingiza vikosi vya kijeshi ardhini. Hata hivyo, unasahau kwamba utawala wa Kiislamu nchini Iran pia unakabiliwa na mpasuko wa ndani miongoni mwa raia wake. Je, hujawahi kujiuliza kwa nini Trump na Netanyahu wamekuwa wakihamasisha Wairan kujitokeza mitaani na kudai mabadiliko ya nchi yao? Inaonekana utawala huo unaweza kudhoofika iwapo Wairan watajitokeza kwa wingi kama walivyofanya mwanzoni mwa mwaka huu, kwa sababu unakabiliwa na shinikizo kutoka pande mbili ndani na nje. Aidha, Wairan wengi hawauungi mkono kutokana na hali ngumu ya kiuchumi na maisha kwa ujumla nchini humo.
 
Nilikuwa naangalia Al-Jazeera nikaona mahojiano ya John Mearsheimer (msomi maarufu wa siasa za kimataifa)

Anasema , mashambulizi ya anga pekee haijawahi kufanikisha kufsnya regime change katika historia.

Ili kubadilisha serikali ya Iran, lazima kuwe na askari ardhini (boots on the ground) kama ilivyofanyika Iraq. mashambulizi ya anga yanaweza kuondoa viongozi wakuu lakini bado mfumo wa serikali kuubaki imara .

Pia vita hii Inaifaidisha Urusi kwa sababu:
Inasababisha mgogoro wa mafuta ,bei inapanda na Urusi anauza mafuta kwa bei kubwa

Inaifanya sanctions za Marekani zisiwe na nguvu na ,pia inapunguza uwezo wa Marekani kutuma silaha Ukraine

Na China nae anafaidika kwa sababu:
Inaongeza ushawishi wake Mashariki ya Kati
Inaonekana kama nchi yenye busara ukilinganisha na Marekani

Pia anasema:
Marekani haina akiba ya silaha za kisasa za kutosha kwa vita ndefu Kiongozi wa jeshi (Chairman of Joint Chiefs) alimshauri Donald Trump kuwa:

"Vita ndefu na Iran inaweza kuiweka Marekani kwenye matatizo makubwa"

Lakini kuna watu kwa mapenzi yao na Marekani ukiwaambia Marekani anapoteza hii vita wanakuona wa ajabu ,wanaona ukubwa wa jeshi la Marekani, wanahitimisha moja kwa moja USA anaweza kushinda vita yeyote kwa muda mfupi,Lakini kwenye siasa za vita, mambo si rahisi hivyo.

Ni ukweli United States ina jeshi lenye nguvu zaidi duniani si kuliko Iran pekee almost dunia nzima lakini kama nilivyosema mambo sio mepesi hivyo

Hata historia inaonyesha wazi
Vietnam War Marekani ilikuwa na nguvu kubwa sana lakini ilishindwa

Afghanistan
Marekani + NATO walikaa miaka 20 mwisho wakaondoka bila ushindi

Vita si ukubwa wa jeshi , ni strategy na mazingira

Kijiografia Iran ina milima mingi ina mazingira magumu kwa kuvamia na askari wa ardhini

Lengo la vita linaamua mshindi nani, kama lengo ni kufanya mashambulizi Marekani anaweza,Lakini kama ni kufanya regime change hio kitu ni ngumu
Ndivyo unaaminishwa na hiyo TV channel ya Maislamists, Al Jazeera! Al Jazeera is a mouth piece of islamists' propagandists. Wanachagua na kuwalipa prominent people kama huyo wa kwako au akina Tucker Carlson wakijua finally kuwa comments zao zita spin the narrative about the war in the islamists favour.
Sasa nikwambie kitu?: this alliance between US & ISRAEL there's never been one like this. It's a merger of the brain 🧠 (Israel) & modern tech (US)
Halafu mbaya zaidi ni vita itakayobainisha ni yupi Mungu wa Kweli kati ya Yahweh na allah. allah kupitia kitabu chake kawaaminisha islamists kuwa Ujio wa Mehdi, inabidi waislamu waifutilie mbali Israel na Wayahudi. Na ndiyo Agenda ya Ayatollahs na proxies wake akina Hamas, Hezibollah, Houthies na Asad wa Syria. Yahweh aliwapa Waisrael Nchi hiyo ya Judea na Samaria.
Na Biblia inakubali kuwa Jerusalem kuna kipindi itakaliwa na mataifa, lakini ktk kipindi cha mwisho wayahudi watarudi kwenye nchi yao Luke 21:24 b.
Sasa kati ya hii miungu wawili Mungu gani wa Ukweli? Vita hii itawafunza somo nyinyi islamists. allah ataaibishwa mpaka aseme poo. Ona hii youtube video tayari kuna waislamu wanaanza kujiuliza WHERE IS ALLAH ALL THIS TIME?

View: https://youtu.be/K0rvjuUJWT0?si=wQPqkNfci3vxVogi
 
msemo unaosema brainwashed Christian is dangerous to himself unakufaa sana wewe! Unaleta assumptions badala ya hoja, You're dangerous to your own intellect.

Kwanza Ndani ya Ukristo hakuna consensus. Kila mtu ana tafsiri yake, na wewe umechagua ile unayoipenda.hujui kipi geopolitics kipi theology .
 
Nilikuwa naangalia Al-Jazeera nikaona mahojiano ya John Mearsheimer (msomi maarufu wa siasa za kimataifa)

Anasema , mashambulizi ya anga pekee haijawahi kufanikisha kufsnya regime change katika historia.

Ili kubadilisha serikali ya Iran, lazima kuwe na askari ardhini (boots on the ground) kama ilivyofanyika Iraq. mashambulizi ya anga yanaweza kuondoa viongozi wakuu lakini bado mfumo wa serikali kuubaki imara .

Pia vita hii Inaifaidisha Urusi kwa sababu:
Inasababisha mgogoro wa mafuta ,bei inapanda na Urusi anauza mafuta kwa bei kubwa

Inaifanya sanctions za Marekani zisiwe na nguvu na ,pia inapunguza uwezo wa Marekani kutuma silaha Ukraine

Na China nae anafaidika kwa sababu:
Inaongeza ushawishi wake Mashariki ya Kati
Inaonekana kama nchi yenye busara ukilinganisha na Marekani

Pia anasema:
Marekani haina akiba ya silaha za kisasa za kutosha kwa vita ndefu Kiongozi wa jeshi (Chairman of Joint Chiefs) alimshauri Donald Trump kuwa:

"Vita ndefu na Iran inaweza kuiweka Marekani kwenye matatizo makubwa"

Lakini kuna watu kwa mapenzi yao na Marekani ukiwaambia Marekani anapoteza hii vita wanakuona wa ajabu ,wanaona ukubwa wa jeshi la Marekani, wanahitimisha moja kwa moja USA anaweza kushinda vita yeyote kwa muda mfupi,Lakini kwenye siasa za vita, mambo si rahisi hivyo.

Ni ukweli United States ina jeshi lenye nguvu zaidi duniani si kuliko Iran pekee almost dunia nzima lakini kama nilivyosema mambo sio mepesi hivyo

Hata historia inaonyesha wazi
Vietnam War Marekani ilikuwa na nguvu kubwa sana lakini ilishindwa

Afghanistan
Marekani + NATO walikaa miaka 20 mwisho wakaondoka bila ushindi

Vita si ukubwa wa jeshi , ni strategy na mazingira

Kijiografia Iran ina milima mingi ina mazingira magumu kwa kuvamia na askari wa ardhini

Lengo la vita linaamua mshindi nani, kama lengo ni kufanya mashambulizi Marekani anaweza,Lakini kama ni kufanya regime change hio kitu ni ngumu
Inamaana wewe unaakili kuliko CIA yote. Marekani wanajua wanachofanya, hayo unayofikiri wewe inawezekana sio issue kwao.
 
Chemical ally Iran
 
Inamaana wewe unaakili kuliko CIA yote. Marekani wanajua wanachofanya, hayo unayofikiri wewe inawezekana sio issue kwao.
Ni kweli wanajua walichofanya Vietnam,wanajua kilichowapeleka Afghanistan miaka 20 na kurudi patubu ,wao wanajua wanachafanya
 
msemo unaosema brainwashed Christian is dangerous to himself unakufaa sana wewe! Unaleta assumptions badala ya hoja, You're dangerous to your own intellect.

Kwanza Ndani ya Ukristo hakuna consensus. Kila mtu ana tafsiri yake, na wewe umechagua ile unayoipenda.hujui kipi geopolitics kipi theology .
Waislamu wenzio wameisha anza kulia mlio wa poo; wanajiuliza kaallah kako wapi kasiwaokoe?
Mtapukutishwa kweli kweli. Tuliwaambia wakati Sinwaa alipolianzisha Oct 7 2023 kuwa Iran akijichanganya tu wajue watafutiliwa mbali.
 
Mkuu dunia inakwenda kasi sana, siku hizi vita inapiganwa tofauti sana na zamani.

Siku hizi vita zinapiganwa kimkakati maalumu wa kudhoofisha utawala au kuutoa madarakani na sio kuvamia na kuikalia kimabavu

Russia mpaka leo hii bado wanahangaika na Ukraine kwasababu waliamua kupigana kizamani kuingiza wanajeshi aridhini na mapambano ya ana kwa ana

IDF wamepata taabu sana pale Gaza walipotia miguu yao

Siku hizi wababe wa dunia wanakula vichwa vya viongozi wasio wataka na kushambulia miundombinu kuwarudisha nyuma kiuchumi na maendeleo

Anasema , mashambulizi ya anga pekee haijawahi kufanikisha kufsnya regime change katika historia.

Ili kubadilisha serikali ya Iran, lazima kuwe na askari ardhini (boots on the ground) kama ilivyofanyika Iraq. mashambulizi ya anga yanaweza kuondoa viongozi wakuu lakini bado mfumo wa serikali kuubaki imara .

Pia vita hii Inaifaidisha Urusi kwa sababu:
Inasababisha mgogoro wa mafuta ,bei inapanda na Urusi anauza mafuta kwa bei kubwa

Inaifanya sanctions za Marekani zisiwe na nguvu na ,pia inapunguza uwezo wa Marekani kutuma silaha Ukraine

Na China nae anafaidika kwa sababu:
Inaongeza ushawishi wake Mashariki ya Kati
Inaonekana kama nchi yenye busara ukilinganisha na Marekani

Pia anasema:
Marekani haina akiba ya silaha za kisasa za kutosha kwa vita ndefu Kiongozi wa jeshi (Chairman of Joint Chiefs) alimshauri Donald Trump kuwa:

"Vita ndefu na Iran inaweza kuiweka Marekani kwenye matatizo makubwa"

Lakini kuna watu kwa mapenzi yao na Marekani ukiwaambia Marekani anapoteza hii vita wanakuona wa ajabu ,wanaona ukubwa wa jeshi la Marekani, wanahitimisha moja kwa moja USA anaweza kushinda vita yeyote kwa muda mfupi,Lakini kwenye siasa za vita, mambo si rahisi hivyo.

Ni ukweli United States ina jeshi lenye nguvu zaidi duniani si kuliko Iran pekee almost dunia nzima lakini kama nilivyosema mambo sio mepesi hivyo

Hata historia inaonyesha wazi
Vietnam War Marekani ilikuwa na nguvu kubwa sana lakini ilishindwa

Afghanistan
Marekani + NATO walikaa miaka 20 mwisho wakaondoka bila ushindi

Vita si ukubwa wa jeshi , ni strategy na mazingira

Kijiografia Iran ina milima mingi ina mazingira magumu kwa kuvamia na askari wa ardhini

Lengo la vita linaamua mshindi nani, kama lengo ni kufanya mashambulizi Marekani anaweza,Lakini kama ni kufanya regime change hio kitu ni ngumu
 
Katika watu wapumbavu duniani wewe umo kwenye list tena ukawa namba moja, haya mahaba niuwe ya dini kashushie na futari ya magimbi na uji uliochanywa na maziwa ya ngamia yaliyoletwa kwa msaada toka kwa mabasha wenu huko Arabuni..
Jibu hoja kwa hoja sio kihoja.
 
Kuna njia nyingi za kusababisha regime change ikiwa ni pamoja na kuwafanya wananchi wao wapinge utawala kwa mateso wanayoyapata.

Pili ni kuwa malengo huwa yanabadilika kila uchwao kutegemea na hali halisi. Siamini mpaka sasa US lengo kuu ni immediate regime change.

Tatu, kwa sasa linalowauma sana US ni lile lango kutofunguka tu. Wanaweza kukubali yaishe ili wajiandae warudi upya.
Yametimia

Back
Top Bottom