Marekani: Hatuna uwezo wa kuishambulia kijeshi Iran

Yaani ukishakuwa na akili za kupiga kichwa chini hadi sugu linatokeza ktk paji la uso ujue ww ni fa.la kabisa, ndio ufala huo unaweza sema US haina uwezo wa kuishambulia Iran kijeshi..!! Ni fa.la tu ndio hajui Nguvu za kijeshi za US zikoje alafu anaandika upuuzi kama huu.. Iran ni kijitoto kidogo sana sanaa mbele ya US..
Iran ni mtoto mbele ya US kama alivyokuwa Daudi mbele ya Goliath.
 
Kuishambulia Iran ni jambo ambalo Marekani hawezi kuthubutu kwa sasa, sababu kuu ikiwa kwamba tofauti na ilivyokua Iraq, raia wa Iran ni wazalendo na hawatawaliwi kidikteta hivyo ukishambulia nchi yao watajitokeza wote kuilinda, na hamna vita vibaya kama hivyo.
Ndio kilichomponza Marekani kule Vietnam, aliishia kujikuta anapigana hadi na wakulima, ikabidi ageuze maana vita vya kihivyo aidha ulipue bomu wafe wote kama Hiroshima kule Japan, huna jinsi ya kushinda. Marekani hutumia intelligence kujua kama ndani ya nchi kuna mgawanyiko na kama kunao makundi tayari kupigana dhidi ya serikali, hapo ndio anakuja akijua ataungwa mikono na raia.
Kupigana dhidi ya dikteta huwa kazi rahisi, ni kama ilivyokua kwa Tanzania dhidi ya Amin Dada, yaani Waganda walikua wamemchoka dikteta yule na walikua radhi kuacha nchi yoyote ije na kumpiga kwa nguvu zote, pia walikuwemo waasi kama akina Museveni na maelfu ya wapiganaji.
Lakini pale unakwenda kuishambulia nchi ambayo watu wake wapo wamoja, tegemea kukumbana na mamilioni ya wapiganaji, tangazo huwa linatolewa kwamba kila mwanaume mwenye umri wa kuanzia 14 ajitokeze kuitetea na kuilinda nchi, wanapewa mabunduki, mapanga na silaha za kila aina, hata watoto pia wanatumika kuja kuwarushia guruneti.
Sasa hapo Marekani atapoteza ikitokea anathubutu dhidi ya Iran.
 
Umesema ukweli...alright

USA hawana Nia ila sio uwezo,wewe mwenyewe apo ukiulizwa nchi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani hasa angani,majini (SEAL)nk,utajibu USA labda Kama wewe ni mnafiki na maskini jeuri utajibu Iran, Russia au china.
 
HAKUNA UCHUMI ULIO STABLE KWA VITA KWANI VITA IKITAKA KUTOKEA HUWA HAIPIGI HODI NA HAIULIZI UCHUMI, VIETNAM ILIVAMIWA NA US MATOKEO UNAYAJUA, KUNA MAZINGIRA UCHUMI MKUBWA NA SILAHA HAIMAANISHI USHNDI eg VIETNAMESE WALITEGA MASHIMO NA MAGOGO MAKUBWA ILI MAGARI YA DERAYA YA US YASIPITE NAIKAWA.
SI KWELI KWAMBA IRAN HANA WASHIRIKA UMEONYESHA UPOFU WA KIWANGO CHA LAMI KTK INTERNATIONAL ISHUZ.
UNATAKIWA UJUE KUWA IRAN NI NCHI YENYE UCHUMI MZURI KWA SABABU YA FLEET KWA YA FUEL WANAYOUZIA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA NI NCHI MOJAWAPO ILIYOSHENI MAINJINIA WA SILAHA NA WANAVIWANDA VINGI VINAVYOTENGENEZA SILAHA FRANCHISE ZA URUSI.
UNAPOTETEA KWAMBA US ANAUWEZO NI SAWA LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KUNA MATAIFA AKIYAVAMIA ANAWEZA BAKIA KIWETE HUKU AKIWA KIPOFU HATA KAMA AKISHINDA
 
Nenda katafute kitu inaitwa Operation Nitron Zeus (NZ),Kwenye ile Documentary ya StuxNet kuna NSA agent aliongelea kidogo kuhusu hii operation.Hawa warekani wasikie tu achana nao kabisa.Fuatulia hii kitu utajua nini nasema.

Au aangalie True Movie
Zer0Day (2016)
Jinsi flash drive tu ilivyowasambaratisha Iran na ma virus wakati wao wanasubiri mabomu.
 
Back
Top Bottom