Marekani: Hatuna uwezo wa kuishambulia kijeshi Iran

Marekani: Hatuna uwezo wa kuishambulia kijeshi Iran

Wanatafuta silaha za MASS DESTRUCTION wakati wao wana silaha za TOTAL DESTRUCTION!
Alafu kuna mijitu inaamini kwamba usa ndio wataleta Demokrasia duniani!
Pathetic walahi!
Ndiyo wavurugaji wa demokrasia, wanataka nchi nyingine zote zifuate kile wanachotaka wao. Inasikitisha sana watu kuuliwa kwa sababu tu ya maslah yao!
 
Hivi na nyuklia zoote pamoja na technology waliyokuwa nayo israel bado tu wameshindwa kuichukua palestina?auu wanasifiwa bure tu?
Nafkir kuna vikwazo kadhaa vya UN
Maana Sion kama wanaweza kushindwa
Kuchukua Palestina
 
Suala la marekani kuizidi nguvu Iran kijeshi liko wazi,
Tatizo lilipo,wamarekani wako tayari kukubaliana na cost za hiyo vita,naposema cost INA maanisha kiuchumi na loss of life,kwa pande zote mbili,
Mfano,marekani huko tayari apoteze kwa mfano kama askari 20,000, katika hiyo vita?
Hilo ndo ishu kubwa,
Kuanzisha vita na Iran,kunahitaji military mobilisation,massive military and equipments movements,
Iran akiamua kupre empty kabla majeshi na silaha hazijawa in place,vita itakuwa ngumu na itawacost
 
Given the size of Iran, its large population, and clear intention to resist any U.S. attack, military action against the country, which many in Washington now see as inevitable, would be by missiles and bombs from the air and sea. But it would not be a cakewalk. In the past year, Iran has deployedthe effective Russian made SA-20c SAM mobile air defense units as well as the S-300 VM missile system, which together have a range of more than 100 miles that could cover the entire Persian Gulf. Radar has also been upgraded. They are the centerpieces of an air defense system that could prove formidable against attacking U.S. aircraft and incoming missiles while ballistic missiles in large numbers in the Iranian arsenal could cause major damage to U.S. bases, Israel, the Gulf States and Saudi Arabia.
All of which means that Americans will die in a war with Iran, possibly in substantial numbers, and the threat by Iran to close the strategic Strait of Hormuz is no fantasy. It has threatened to do so if its own oil exports are blocked after November 4th, even if there is no war. And if there were war, even if subjected to sustained attack, Iran would be able to threaten ships trying to use the Strait with its numerous batteries of anti-ship missiles hidden along the country’s rough and mountainous coastline, to include the Russian made SS-N-22 Sunburn, which is the fastest and most effective ship killing missile in anyone’s arsenal. Fired in volleys, it would be able to overwhelm the defenses of U.S. warships, to include aircraft carriers, if they get too close. With the Strait closed in either scenario, oil prices would go up dramatically, damaging the economies of all the major industrialized nations, including the United States. A major war would also add trillions to the national debt.
 
Yaani ukishakuwa na akili za kupiga kichwa chini hadi sugu linatokeza ktk paji la uso ujue ww ni fa.la kabisa, ndio ufala huo unaweza sema US haina uwezo wa kuishambulia Iran kijeshi..!! Ni fa.la tu ndio hajui Nguvu za kijeshi za US zikoje alafu anaandika upuuzi kama huu.. Iran ni kijitoto kidogo sana sanaa mbele ya US..
Well said. The US ni namba nyingine.
 
We jamaa mungu anakuona USA Hana uwezo wa kuipiga Iran?
 
Yaani ukishakuwa na akili za kupiga kichwa chini hadi sugu linatokeza ktk paji la uso ujue ww ni fa.la kabisa, ndio ufala huo unaweza sema US haina uwezo wa kuishambulia Iran kijeshi..!! Ni fa.la tu ndio hajui Nguvu za kijeshi za US zikoje alafu anaandika upuuzi kama huu.. Iran ni kijitoto kidogo sana sanaa mbele ya US..
"Every Person has the potential to CHANGE the World" hata unaemuita fala...........
 
Suala la marekani kuizidi nguvu Iran kijeshi liko wazi,
Tatizo lilipo,wamarekani wako tayari kukubaliana na cost za hiyo vita,naposema cost INA maanisha kiuchumi na loss of life,kwa pande zote mbili,
Mfano,marekani huko tayari apoteze kwa mfano kama askari 20,000, katika hiyo vita?
Hilo ndo ishu kubwa,
Kuanzisha vita na Iran,kunahitaji military mobilisation,massive military and equipments movements,
Iran akiamua kupre empty kabla majeshi na silaha hazijawa in place,vita itakuwa ngumu na itawacost
Angalau wewe umeandika kinachoeleweka.
Vita ina mengi sana na gharama nyingi sana za muda mfupi na muda mrefu..Vietnam,Iraq,Afghanistan bado madhara yanaendelea mpaka sasa..vita sio kudondosha mabamu na kukimbia. Urusi,Israel, Saudia zinaangaliwa sana kwenye mgogoro huo wa Iran
 
Hili jamaa lina ushabiki wa kijinga hadi wakati mwingine huwa kama rizuzu. [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom