elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
YH vivian tilya.Hivi Complex mpenziwe si alikuwa ni Vivian ama! au Tilya ni jina lake pia?
Roy RIP alitisha sana na G2 yake enzi hizo...yaani kina Tonya Mbili kipindi hiko walibamba sana kupitia mkono wa huyu jamaa. Kila nikisikiliza "Siamini" ya Matonya lazima inijie taswira ya huyu jamaa aise.
Yah enzi hizo akina tonya wanatoka tokaNimeikumbuka G Record kabla haijasambaratika.
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?Jamaa alikua mkali sana halafu kaondoka akiwa bado kijana sana .
Complex- nyamazaRoy alikuwa mkaree. Ice cream ya Noorah alitengeneza na watu kibao.
Complex man,alikufa kwa ajali na mpenzi wake. It was sad man.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aziweke roho za watz hawa wenye vipaji pahala pema peponi.
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
First to reply.
Sijakuelewa Mkuu!alikuwa talented sana lakini zile fununu za u mende hadi kwa wasanii fulanifulani zilikuwa zinasikitisha na kuwatisha wengi
Daah!Roy alikua anajua sana
Mkuu Roy ni nani...wengine tuliingia mjini mwa mbio za mwenge kwa kuchelewa.
Simjui ila kwa nyimbo zilizo tajwa ametisha sanaaaaMimi mwenyewe natoa mimacho hata simuelewi. Alikufa kwa ugonjwa au ajali?