Marehemu Roy alikuwa anajua sana

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,698
Producer Roy ambaye ni mdogo wake Bukuku pamoja na Enika alikuwa producer mkali sana.
Ukasikiliza sound za maproducer wengi kama Manecky, KGT, Bob Jr na wengine wengi ni sound ya mziki alikuwa anautengeneza Roy.
Kumbuka ngoma kama mapozi ya Mr Blu ambayo KGT alikuja kusample akatengeneza ngoma ya ukiniona - Alikiba.
Jamaa amefundisha u producer wengi na aliacha vipaji vingi sema ndiyo hivyo maisha hayana guarantee kama utaiona kesho.
Blu akimkumbuka Roy uwa anatoa chozi anasema hakuishi kula jasho lake.
Rip Roy...
Bila kumsahau prod Complex na mpenziwe Tilya
38182bd99bde3a44cf1318daf59ae7c6.jpg
 
Hivi Complex mpenziwe si alikuwa ni Vivian ama! au Tilya ni jina lake pia?

Roy RIP alitisha sana na G2 yake enzi hizo...yaani kina Tonya Mbili kipindi hiko walibamba sana kupitia mkono wa huyu jamaa. Kila nikisikiliza "Siamini" ya Matonya lazima inijie taswira ya huyu jamaa aise.
 
YH vivian tilya.
Unakumbuka ngoma kama siamini macho yangu ya matonya.
Nilikuwa naikubari mpaka basi
Chungwa ya sumalee
Mwache aende zake ya sumalee
Mimi wewe abby skills na mr blu. Hii ngoma blu alimpa abby skills baada ya kutaka mpa mapozi akaghairi akaimba yeye ndipo akampa mimi wewe.
 
Jamaa alikua mkali sana halafu kaondoka akiwa bado kijana sana .
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
 
Roy alikuwa mkaree. Ice cream ya Noorah alitengeneza na watu kibao.
Complex man,alikufa kwa ajali na mpenzi wake. It was sad man.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aziweke roho za watz hawa wenye vipaji pahala pema peponi.
Complex- nyamaza
Raha kamili - ay
Changa la macho dah mziki wa zaman mtamu sana.
Rip legendaries, thou we are apart but we are still a team. Amen
 
Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi

Enika naona ameamua kujikita kwenye matangazo tu now..hope yatakua yanamlipa.. angeendelea kung'ang'ania kuimba bila bro wake Roy pengine angekua anachezewa tu saa hizi na vitoto vyenye studio uchwara
 
Similar Discussions

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom