Marehemu Grace Mbowe anaagwa muda huu

Kwa hiyo kama mbowe haji kanisani mnasusia maiti.... think above politics.
 
kwa mungu hakuna cha ccm....ni wewe na dhambi zako..
 
Kwakweli ni msiba mzito kwanini watu wema hawakai lakini ??
 
Grace mbowe dada wa mwenyekiti wetu wa taifa chadema (kub) kuzikwa kesho nyumbani kwao machame.habari ziwafikie makamanda wote wa chadema popote mlipo,tulimpenda sana lkn mungu zaidi.
 
Grace mbowe dada wa mwenyekiti wetu wa taifa chadema (kub) kuzikwa kesho nyumbani kwao machame.habari ziwafikie makamanda wote wa chadema popote mlipo,tulimpenda sana lkn mungu zaidi.
Ziwafikie makamanda? Alikuwa nani huko CDM!
 
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani

R.i.p Gresi mwana ccm
Akili za UVCCM au vijana wa yebo yebo.
 
Ha ha ha, Jf raha sana ati !!! Unaweza kucheka upasuke.
 
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani

R.i.p Gresi mwana ccm

sasa wewe uko kwenye ibada? huo mda wa kuripoti hizi habari unautoa wapi unawezaje kuhangaika na keyboard au simu wakati uko kanisani? na vp kuhusu ndugu wa marehemu wote wapo? na pia kwa nini Grace tu na sio mme wake hujui kama na yeye ameaga dunia
 
Grace mbowe dada wa mwenyekiti wetu wa taifa chadema (kub) kuzikwa kesho nyumbani kwao machame.habari ziwafikie makamanda wote wa chadema popote mlipo,tulimpenda sana lkn mungu zaidi.
Na kwa UBABE wenu nina uhakika mtamzika Mwanachama huyo wa CCM kiCHADEMA au mumnyime matakwa yake kabisa ya kuwa MKEREKETWA wa CCM ili azikwe atakavyo,
RIP Grace Mbowe utakumbukwa Daima na CCM, kwani ulichotaka kutueleza hakikutimia
Wasalimie wote Nyerere, Kawawa, Chacha Wangwe, Mzee Aikael Mbowe, na wengineo waipendao nchi hii MUIOMBEE
 
kweli kabisa umeongea point
 
Aminangalo pole dear, Vipi ulikumbuka kumuaga mumeo kuwa unaenda kumwona F.A. Mbowe eti ehe? Jamani me mdogo wake Mbowe nitumie phone no yako basi ili nimpatie mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…