Marehemu ananiuliza kama naweza sasa hivi

Action and reaction are equal in....
Sasa wewe mwili ulivyokufa ganzi ulipopata taarifa za msiba unataraji ipite bila matokeo?
hii comment ni ya kichochezi!!!!
hivi ww hujasoma kwamba mtoa mada amesema mpaka hivi leo hajui kiingereza???
akimaanisha hata kile anachokiongea shilole yeye hawezi, afu ww unamletea sijui maaksheni na mariyaksheni, unataka next time aote anatandikwa bakora kwa kutojifunza kirasisimba???
 
Back
Top Bottom