mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
Kitu kinachoruka si ni risasi??
labda walimaanisha popo bawa
Kitu kinachoruka si ni risasi??
labda walimaanisha popo bawa
may be he meant UFOs
Ni kauli ya kushangaza iliyotolewa na Kamanda wa morogoro kuwa madaktari wamegundua kuwa marhemu aliuwawa na kitu kinachoruka.Hicho kitu kilikuwa na mabawa?walijuaje kuwa kilikuwa kinaruka na hakuwa hit from a short distance e.g na nondo?wangesema kuwa marehemu aliuwawa either na blunt object or sharp object.Je fuvu lilikuwa limepasuka au lina tundu? je hicho kitu kilijirusha au kilirushwa? Mapolisi wawe wanatafakari kabla ya kutoa kauli tata kama hiyo.Tanzania ya leo sio ya mwaka 47,watu wameelimika .