Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ulisoma hilo gazeti na ukaamini basi nina kila sababu ya kudoubt uwezo wako wa kufikiriMkuu, sina sababu wala tabia ya "kurudi nyuma!". Unaweza kulisoma hilo gazeti ujiridhishe.
Wanajiandalia makao... Anyway tusishangae mishahara hewaHilo ndilo swali nimejiuliza nikakosa jibu! Nashangaa hao marehemu watakisaidia nini chama! Au ndio na wao wanaelekea kaburini aliko!
Filipo kama ulichoandika ni kweli basi hii itakuwa kali ya kufungia mwaka lol....ndo kusema wameishiwa au???.... inasikitisha sana!Nimeona kwenye gazeti la sema usikike la tar 28, ukurasa wa kwanza. Limeandikwa, "Vituko uchaguzi wa ccm: Mwanachama aliyekufa na kusahaulika achaguliwa mwenyekiti wa ccm Dar". Nimebaki najiuliza, swala la kukosa wanachama wa kugombea uongozi wa shina (mabalozi) limefikia hapa!? Kweli ccm imekwisha vibaya!
Manumbu umenichekesha sana...lol eti kuwarehemu marehemu hahahahahah!!!!!!! .....kuishiwa kubaya jamani daaah... ccm bana wametia fora.Marehemu walipokuwa hai walikuwa wanachama wa CCM. Sasa waliobaki hai hakuna mwanachama na hawaitaki tena CCM. Njia pekee iliyosalia, ni kuwarehemu marehemu...na kuendeleza kazi zao nzuri za kukitumikia CCM. Kwa vile walifariki wakiwa CCM, si vibaya matendo yao yakiendelea kutukuzwa kwa kuendelea kupewa uongozi ndani ya CCM! ndo njia pekee ya kuenzi kazi za marehemu kichama - kiccm!
Manumbu umenichekesha sana...lol eti kuwarehemu marehemu hahahahahah!!!!!!! .....kuishiwa kubaya jamani daaah... ccm bana wametia fora.
ndicho walichosalia kukifanya kwa kweli. naamini ukiwakuta kwenye vikao vyao vile vya ndani kwa ndani, watakuwa wamenuniana kishenzi. kila mtu kamkasirikia mwenzie, lawama juu ya lawama, laana juu ya laana! wala hawatazamani machoni. na bado. tutasikia wamerushiana makonde kwenye vikao vyao....tuombe uhai tu. tutayaona yote towards kifo cha CCM!!!!!
Nimeona kwenye gazeti la sema usikike la tar 28, ukurasa wa kwanza. Limeandikwa, "Vituko uchaguzi wa ccm: Mwanachama aliyekufa na kusahaulika achaguliwa mwenyekiti wa ccm Dar". Nimebaki najiuliza, swala la kukosa wanachama wa kugombea uongozi wa shina (mabalozi) limefikia hapa!? Kweli ccm imekwisha vibaya!
Unajua wakati mwingine wana JF wananishangaza sana,taratibu za uchaguzi siku zote zinajulikana iwe ngazi ya ujumbe wa nyumba kumi mpaka Taifa,sasa huyo Marehemu alijinadi vipi na wakati gani mpaka wapiga kura wakampigia kura?,vitu vingine (hasa visivyowezekana) siyo tunapokea tu na kushadadia tutakuja kushadadia mpaka vyenye madhara
Mkuu, mbona hata huko kumejaa akina Nyerere, Sokoine, Kawawa na viongozi wengine wengi tu!
Unajua wakati mwingine wana JF wananishangaza sana,taratibu za uchaguzi siku zote zinajulikana iwe ngazi ya ujumbe wa nyumba kumi mpaka Taifa,sasa huyo Marehemu alijinadi vipi na wakati gani mpaka wapiga kura wakampigia kura?,vitu vingine (hasa visivyowezekana) siyo tunapokea tu na kushadadia tutakuja kushadadia mpaka vyenye madhara
Mkuu, hapa tunaleta habari na kuijadili as great thinkers. Nimeweka na source ili kuondoa utata. Sasa kama haikuingii akilini, unatakiwa kuichallenge source! Fungua web ya ipp ulisome hilo gazeti ili upate habari kwa kina! Maneno ya mipasho, sijui kushadadia i'm not used to! Very sorry.
Ila uko used na habari za Wafu kupigiwa kura?
Ukiwa ni sehemu ya Jamii ya Great Thinkers unatakiwa upime na habari yenyewe, je inafanana na uhalisia? siyo ksbb imeandikwa kwenye gazeti na wewe ume'quote source basi ndo tujadili,kuna vitu vya kujadili na vingine siyo vya kujadili,mimi na akili zangu siwezi kujadili "lisilowezekana" kama hilo,jadilini wenyewe...