marefa wa kibongo kabla ya kuingia uwanjani wapimwe

marefa wa kibongo kabla ya kuingia uwanjani wapimwe

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
kiwango cha pombe. Kama refa anayechezesha mpira wa leo kati ta Ashanti na Azam nilivyo mshuhudia akipiga viroba yeye na mwamuzi wa pembeni wa kike pale Kakonko Bar majimatitu. Punde namshudia akichezesha mpira. Sijashangaa jinsi alivyotoa penati kwa Azam isiyo ya kweli.
 
Back
Top Bottom