Marcus: Malawi wakishinda umiliki wa ziwa nyasa, Tukuyu, Kyela na Ileje kuwa upande wa Malawi

Kunautafiti niliufanya wiki nzima apa kyela, ila wananchi wameupokea kwa mikono miwili ujio wa mama joi make wameichoka ccm sana, wanadai ccm 2015 ikirudi madarakani wao wapo tiyari kwenda kumwomba mama joi aichukue kyela kwa nguvu,.
 
Hili suala ni wazi kabisa haliwezekani.

Nimegundua ukitaka kueneza propaganda fasta hapa Tanzania tumia professor(wasomi) maana hao huwa hoja zao hazipingwi. Think for yourself. Don't be a slave of a public opinion

Na ndio maana CCM kwenye propaganda zake ikagundua mapema kumtumia nani vileeee? Prof sijui Dr. Bana
 
Back
Top Bottom