Prime Minister of Netherlands Mark Rutte on a bicycle going to work while on the right picture its President of Kenya Uhuru Kenyatta going in a convoy for a hair cut.
Kenya gari zinaendeshwa upande wa kushoto barabarani.Siunaona gari zenyewe zipo upande wa kulia wa highway?Hiyo ni miili ya waliouwawa baada ya ndege kutumbuliwa kule Ukraine.Sijui kwanini unajaribu kuendeleza uongo dhidi ya rais wetu U.Kenyatta!Hata kama unamchukia aisee kumbuka alichaguliwa na mamilioni ya wakenya,inafaa apewe angalau heshma kiasi.Sisi sote ni wanaE.A jombaa!Afu pia Uhuru ni mtu simple mara kibao anajiendesha mwenyewe kwenye gari lake binafsi,hana haja ya upuzi huu wa kujitangaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.