Maralia maralia vp kwani??Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha
1. Halimah.
Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023.
View attachment 2796510
View attachment 2796511
"Ewe Nabii, waambie wake zako na binti zako na wake wa waaminio, wateremshe shungi zao. Kufanya hivyo kutapelekea wao kutambulikana (kwamba ni wanawake waungwana) hawatakerwa ( na watu waovu), na Allah ni Mwingi wa kusamehe (tena) Mwenye huruma".1Maralia maralia vp kwani??
Kuna watu wanaumia wakiona ushungi???
Kwani ushingi unavaliwa na waislamu tu duniani???
Au ni tamaduni za jamii nyingi za wanawake duniani???
NB: VP KUHUSU GAZA WALE MAYAHUDI SI ULISEMA WANAOGOPA KUINGIA
VP BADO WANAOGOPA TU AU????
Itaikuwa ushazoea kutekwa na kuteswa. Ukipata Mcha Mungu mwili unakuwashaMama Abdul aliokota embe dodo! Hakustahili hiyo nafasi!
Tutajuta!!
Maralia hii adithi umeitoa wapi???"Ewe Nabii, waambie wake zako na binti zako na wake wa waaminio, wateremshe shungi zao. Kufanya hivyo kutapelekea wao kutambulikana (kwamba ni wanawake waungwana) hawatakerwa ( na watu waovu), na Allah ni Mwingi wa kusamehe (tena) Mwenye huruma".1
Maralia hii adithi umeitoa wapi???
Mbona kuna hekaya za kiarabu ndani yake.
Nisomee pia na adithi idadi:6,245
Ya Mu'waiya Abu ibn Sufyan
Maralia hiyo haiitwi hijab tu kwa lugha ya kiarabu acha ushamba.View attachment 2796549kaa hijab kapendeza sana tu. Hijab humjengea heshima mwanamke.
Maralia hiyo haiitwi hijab tu kwa lugha ya kiarabu acha ushamba.
Hicho kinaitwa kitambaa cha kichwani kinachovaliwa na wanawake na kwa kiswahili kinaitwa ushungi.
Wanawake woote duniani wanavaa vitambaa vya kichwani ila kwa mitindo tofauti tofauti.
NB: ACHA USHAMBA WA AKILI KWA KUAMINI KUA HESHIMA INAJENGWA NA HIJABU MAANA KUNA MALAYA WENGI TU WA KIARABU PALE RYADH SAUDI ARABIA NA WANAVAA HIJABU NA NIQAB NA WANAJIUZA.PIA NI USHAMBA KUAMINI WAISLAMU TU PEKEE NDIO WANAVAA USHUNGI.
SAFIRI DUNIANI UJIONEE.
NB: HESHIMA UJENGWA NA TABIA NA SIO HIJABU.
Vipi umeshamalizana na issue ya Wapalestina wenzako wanavyokula Kichapo huku allah amejificha na hawezi kuwatetea?
Maralia wewe mgonjwa wa akili.....Si umeona nilivyokujibu pale juu.Christian Women Have To Wear Hijab According To The Bible
Wanawake duniani?Maralia wewe mgonjwa wa akili.....Si umeona nilivyokujibu pale juu.
Naamini unaumwa maralia na imekupanda kichwani.
HIJABU NI NENO LA KIARABU LINALOMAANISHA KITAMBAA CHA KICHWANI KINACHOVALIWA NA WANAWAKE.
NA WANAWAKE WOTE DUNIANI WANAVAA VITAMBAA VYA KICHWANI KWA MITINDO TOFAUTI TOFAUTI
Maralia wewe mgonjwa wa akili.....Si umeona nilivyokujibu pale juu.
Naamini unaumwa maralia na imekupanda kichwani.
HIJABU NI NENO LA KIARABU LINALOMAANISHA KITAMBAA CHA KICHWANI KINACHOVALIWA NA WANAWAKE.
NA WANAWAKE WOTE DUNIANI WANAVAA VITAMBAA VYA KICHWANI KWA MITINDO TOFAUTI TOFAUTI
Yeah maralia,,,au hujui kua wanawake wote duniani wanavaa vitamba vya kichwani kwa kiswahili tunaita ushungi.Wanawake duniani?
Yeah maralia,,,au hujui kua wanawake wote duniani wanavaa vitamba vya kichwani kwa kiswahili tunaita ushungi.
Ila kwa mitindo tofauti tofauti.
SAFIRI MDOGO WANGU UONE