Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,674
- 14,096
Points za nini ?Kwahy mnazid kuchukua point sio?
Uzi wao watu maarufu unakujaMods waunganishe nyuzi
Kutana na jamaa anayeongoza kampeni ya #KataaNdoa....
Huyu jamaa ni mwigizaji maarufu huko marekani, anaitwa Leonardo DiCaprio, ana miaka 48 na hajaoa wala kupata mtoto..... Hali hii imemjengea umaarufu kwasababu imeonekana ameingia kwenye mahusiano na zaidi ya wanawake 27, lakini anatabia ya kuachana nao punde tu watimizapo miaka 25...www.jamiiforums.com
🤣🥴Oops Bhalaa Hili Duniani
Daaah! Nilimsahau mwamba Modi😎 halafu wahindi inaonekana wanapenda sana ubachelaKiongozi wao mkuu ni Narendra Modi, Waziri Mkuu na mkuu wa nchi ya India. Huyo bwana alipewa mke akakimbia nyumbani, na mkewe naye akakataa kuolewa hadi uzee.
Wanasayansi wana kanuni zao hawa inaonekana ni ngumu kuwa na mkeKATAA katakata.
Nje ya mada/ wanasayansi wengi Wali iishi hii kampuni vilivyo maana kuoa au kuwa na mwanamke kiujumla kulidumaza jinsi ya kufikiri gunduzi mbalimbali
Labda stress 😎Waliooa ndo hao kina Biden wannanguka ovyo
Kwamba yeye ni konki au ?😎Rais wao ni namba 4, huyo Mvatikano ^Mhinakundi!^
ItakuaLabda stress 😎