Mtukane kimoyomoyo mkuu.Akinuna shauri yake
Kweeli inaudhi sana kila wakati tunapolazimishwa kutaja majina yote ,4 pamoja na kuongeza Rais Dr.xxxx.Kuna kiumbe aina ya binadamu kakuudhi mkuu?
Siku hizi sisikii wakimuita lile jina la Rais Dr.J.KIdd Amin aliongoza kwa kupenda sifa, alitaka aitwe,profesa, Dr,Alhaji,na n.k,Nyerere alikuwa kiongozi pekee mwenye hekima kubwa,pamoja na Elimu yake hakupenda kuitwa Dr zaidi ya Mwalimu.
Elimu ya Obama ni kubwa mno,(Obama ni profesa) lakini huwezi kusikia kaitwa Dr.
Mtu akiwa Rais, anakuwa mfalme yaani hakuna cheo kingine cha juu ktk taifa kinachomshinda Rais wa nchi,sasa ukisema tu " Rais Clinton " inatosha mno,kuliko kusema " President Dr Clinton " wala haipendezi,ni sifa za kishamba kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idd Amin aliongoza kwa kupenda sifa, alitaka aitwe,profesa, Dr,Alhaji,na n.k,Nyerere alikuwa kiongozi pekee mwenye hekima kubwa,pamoja na Elimu yake hakupenda kuitwa Dr zaidi ya Mwalimu.
Elimu ya Obama ni kubwa mno,(Obama ni profesa) lakini huwezi kusikia kaitwa Dr.
Mtu akiwa Rais, anakuwa mfalme yaani hakuna cheo kingine cha juu ktk taifa kinachomshinda Rais wa nchi,sasa ukisema tu " Rais Clinton " inatosha mno,kuliko kusema " President Dr Clinton " wala haipendezi,ni sifa za kishamba kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nini jamani ? Mbona siku inaanza kwa hasira hasira hivi ?Ni Ushamba sana.na Si kwa vyeo vya kisiasa tu.. ni Jamii nzima..
Hao Wanamichezo kujipachika Majina kama Messi,Adebayor,Boban..nk
musicians nao Wanajiita Kocha wengine wanajita Marais na Vyeo vingine vya kijeshi..Ushamba tu.
Huyu Dr. Mwenyewe anayesifiwa Lugha inamsumbua sijui hayo masomo ya science kama aliyaelewa,
Afadhali ya Mshamba aliyezaliwa Mjini kuliko Dr. wa Ushambani..
πππKuna kiumbe aina ya binadamu kakuudhi mkuu?