white-frank mhiro
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 760
- 166
wengi hapo ma-alhaji
faizafoxy njoo kuna huyu anavunja faizafoxy's first law of religion
wengi hapo ma-alhaji
1. Jacob Zuma- Republic of South Africa
2. Joseph Kabila- Democratic Republic of Congo
3. Presdient Ismaïl Omar Guelleh Djbouti
4. President Omar Hassan Ahmad al-Bashir Sudan
5. Yahya Jammeh Gambia
6. Paul Kagame Rwanda
7. Mohamed Ould Abdel Aziz Mauritania
source:Africa Cradle
hahaha mkuu usinitafute ubaya,wanangu bado wadogo
Imesainiwa tayari......hupati mtu hapa.
Mbowe wa moshi maana ana o-level
Profesor wa mashariki ya mbali amekosekana,duu... hebu edit uje na maraisi kumi tuone kama Far East prof. atakosa.
Yule m6 au dah hii sheria tangu isainiwe inafanya tuwe wafikiriaji sana!!
Tiii,tiii,tiii,tiiiYule m6 au dah hii sheria tangu isainiwe inafanya tuwe wafikiriaji sana!!
Yule m6 au dah hii sheria tangu isainiwe inafanya tuwe wafikiriaji sana!!
Sio kwamba wamemrukahahaha cjui kama nanii angekosekana
UnaAshki majinuni...
Sheria imesainiwa tutakupasua tezi dume
Kabisa mkuu.Hii sheria imeifanya JF iwe kama chumba cha mtihani!
Na wenye shuke zao ni kina nani?
Unazungumzia chama cha madereva/
Ngoja tuvumilie si walisema watairekebisha!!.
Wewe unaamini kweli watairekebisha?
Labda! maana wanasemaga kuwa wao ni wasikivu.
Hahahahaaa hiyo labda ifute kabisa.Hakuna kitakachorekebishwa wala nini.
Warekebishe ili muwaseme vizuri?
kwa hiyo inaweza kuwa ni magumashi???.