Marais 7 wenye elimu ndogo kabisa Africa

Marais 7 wenye elimu ndogo kabisa Africa

Wa kutunikiwa je??

Nyie Mnapoteza Tu Muda Wenu Nia Ya Mleta Uzi Hapa Ni Kutaka Tu Kumchafua Huyo Namba 6 Na Hao Wengine Amewaweka Tu Kama Mbwembwe Na Kunogesha Uzi Wake. Lakini Hata Hivyo Nimemwomba Kama Hana Data Za Kutosha Za KITAALUMA Wa Aliye Ktk AVATAR Yangu Aniambie Ili Nimuanikie Lakini Kama Hiyo Haitoshi Nimemwomba Aniwekee Taarifa Za KITAALUMA Za Jakamoyo Wake Kisha Tupime Kati Ya Jakamoyo Na AVATAR Ya Gentamycine Nani Ni KIDUME Zaidi Kitaaluma Na Kama Haitoshi Pia Tupime Je Kati Ya Wao Wawili Nani Kaitumia Vizuri Na Kimanufaa ELIMU Yake Ktk Kujenga Vizuri Nchi Yake Haswa Kimaendeleo!
 
Fanya UCHAMBUZI Wako MPYA Kuhusiana Na Huyo Namba 6 Na Kama UTASHINDWA Kupata TAARIFA Zake Za KITAALUMA Niambie NIKUSAIDIE! Na Focal Point Ya Uzi Wako Huu Ni Huyo Huyo Namba 6 Hao Wengine Wana Compliment Tu Uzi Wako. Wenye AKILI Tumeshalijua Lengo Lako. Kama Vipi Tuwekee Na Elimu Ya KWELI Na UWEZO Wake Darasani Ya " Jakamoyo " Na Bahati Mbaya Kama Utakuwa Huna Sema Pia NITAKUSAIDIA Kukupa ILI Uone ALIVYOKUWA Mpiga CHABO Mkubwa Darasani Kupitia Kwa " Natetemeka Kwa Ugonjwa Lakini Nautaka Urais 2015 ".

mkuu sina evidence ya aina yoyote zaidi ya kupata habari kwenye hiyo link.kama una taarifa zaidi unaweza kutujuza
 
mkuu sina evidence ya aina yoyote zaidi ya kupata habari kwenye hiyo link.kama una taarifa zaidi unaweza kutujuza

Kumbe Umefuata Tu Link Na Kukopi Na Kupesti? Umenisaidia Sasa Kujua Wewe Ni Wa Aina Gani Hivyo Ngoja Niishie Tu Hapa NISIKINUKISHE Bure!
 
Nyie Mnapoteza Tu Muda Wenu Nia Ya Mleta Uzi Hapa Ni Kutaka Tu Kumchafua Huyo Namba 6 Na Hao Wengine Amewaweka Tu Kama Mbwembwe Na Kunogesha Uzi Wake. Lakini Hata Hivyo Nimemwomba Kama Hana Data Za Kutosha Za KITAALUMA Wa Aliye Ktk AVATAR Yangu Aniambie Ili Nimuanikie Lakini Kama Hiyo Haitoshi Nimemwomba Aniwekee Taarifa Za KITAALUMA Za Jakamoyo Wake Kisha Tupime Kati Ya Jakamoyo Na AVATAR Ya Gentamycine Nani Ni KIDUME Zaidi Kitaaluma Na Kama Haitoshi Pia Tupime Je Kati Ya Wao Wawili Nani Kaitumia Vizuri Na Kimanufaa ELIMU Yake Ktk Kujenga Vizuri Nchi Yake Haswa Kimaendeleo!

mkuu naona sasa unataka kunichafua kuwa nilikuwa namlenga mtu.binafsi sijapika taarifa yoyote na wala taarifa nilizoweka hapa siyo zangu.soma kwenye link hiyo basi wewe mwenyewe ujionee kuliko kutaka mimi nilete ushahidi wa taarifa ambazo mimi siyo source yake zaidi ya hizo hapo kwenye link
Top 7 Least Educated African Presidents | Africa Cradle
 
Kumbe Umefuata Tu Link Na Kukopi Na Kupesti? Umenisaidia Sasa Kujua Wewe Ni Wa Aina Gani Hivyo Ngoja Niishie Tu Hapa NISIKINUKISHE Bure!

asante mkuu kwa kunielewa jinsi nilivyo.binafsi nakushukuru pia kwa dhati ya pekee kuwepo hapa
 
mkuu naona sasa unataka kunichafua kuwa nilikuwa namlenga mtu.binafsi sijapika taarifa yoyote na wala taarifa nilizoweka hapa siyo zangu.soma kwenye link hiyo basi wewe mwenyewe ujionee kuliko kutaka mimi nilete ushahidi wa taarifa ambazo mimi siyo source yake zaidi ya hizo hapo kwenye link
Top 7 Least Educated African Presidents | Africa Cradle

Nimeshakujibu Tayari Haswa Baada Ya Kuniambia Kuwa Kumbe Umeipata Tu Ktk Hiyo Link Na Ukakurupuka Kuileta Bila Na Wewe KUJIONGEZA Na Kuichambua Kiueledi. Ni Habari Ngapi Zinazopotoshwa Huko Huko Ktk Hizo Links Zenu Na Baadae Zinakanushwa? Kwa Mfano Mdogo Ninaokupa Mwaka Jana Mwandishi Wa Habari Wa BBC Swahili Edition Mariam Shamte Alitangaza Habari Ya Kuihusu Magogoni Yako, Jakamoyo Na Serikali Yake / Yako Na Hadi Ikaweka Ktk Mtandao Wao Na Mingine Ikaipata Japo Haikuenea Sana Kwani Jamaa Wa Nyuma Ya Dstv Oysterbay Waliwahi Kuitoa Na Baadae Ilipogundulika Ilikuwa Ni Taarifa Tu Ya KUPOTOSHA BBC Waliomba Radhi Kwa Jakamoyo Na SIRI KALI Yake Na Baadae Huyo Huyo Mwandishi Mariam Shamte Akawajibishwa Na Ndiyo Maana Siku Hizi Humsikii Tena Akitangaza BBC. Ila Siyo Mbaya Lengo Lako Limefanikiwa!
 
Ngoja nikanywe mbege kwanza nitarudi kuja kumsaka mkulu wa kaya vasco da gama akwanni anaweza kuwa anaongoza orodha ya maras wenye elimu ya juu ya Uprofersa na doktereti.
1975242_486997918119607_2713196675534115643_n.jpg
 
Nyie Mnapoteza Tu Muda Wenu Nia Ya Mleta Uzi Hapa Ni Kutaka Tu Kumchafua Huyo Namba 6 Na Hao Wengine Amewaweka Tu Kama Mbwembwe Na Kunogesha Uzi Wake. Lakini Hata Hivyo Nimemwomba Kama Hana Data Za Kutosha Za KITAALUMA Wa Aliye Ktk AVATAR Yangu Aniambie Ili Nimuanikie Lakini Kama Hiyo Haitoshi Nimemwomba Aniwekee Taarifa Za KITAALUMA Za Jakamoyo Wake Kisha Tupime Kati Ya Jakamoyo Na AVATAR Ya Gentamycine Nani Ni KIDUME Zaidi Kitaaluma Na Kama Haitoshi Pia Tupime Je Kati Ya Wao Wawili Nani Kaitumia Vizuri Na Kimanufaa ELIMU Yake Ktk Kujenga Vizuri Nchi Yake Haswa Kimaendeleo!

Umeanza kuwashwa, nani amekwambia hapa tunashindanisha hao wawili, bila kuwagusa hao huna cha kuchangia hapa JF
 
Umeanza kuwashwa, nani amekwambia hapa tunashindanisha hao wawili, bila kuwagusa hao huna cha kuchangia hapa JF

Siongei Na Mbwa Bali Naongea Na Mwenye Mbwa............Na Bahati Nzuri Mwenye Mbwa Tayari Nimeshawekana Nae Sawa Na Tumelewana Na Nimemwelewa ILA Mbwa Ndiyo Anahangaika Sasa Kutaka Ligi Na Gentamycine!
 
Nimeshakujibu Tayari Haswa Baada Ya Kuniambia Kuwa Kumbe Umeipata Tu Ktk Hiyo Link Na Ukakurupuka Kuileta Bila Na Wewe KUJIONGEZA Na Kuichambua Kiueledi. Ni Habari Ngapi Zinazopotoshwa Huko Huko Ktk Hizo Links Zenu Na Baadae Zinakanushwa? Kwa Mfano Mdogo Ninaokupa Mwaka Jana Mwandishi Wa Habari Wa BBC Swahili Edition Mariam Shamte Alitangaza Habari Ya Kuihusu Magogoni Yako, Jakamoyo Na Serikali Yake / Yako Na Hadi Ikaweka Ktk Mtandao Wao Na Mingine Ikaipata Japo Haikuenea Sana Kwani Jamaa Wa Nyuma Ya Dstv Oysterbay Waliwahi Kuitoa Na Baadae Ilipogundulika Ilikuwa Ni Taarifa Tu Ya KUPOTOSHA BBC Waliomba Radhi Kwa Jakamoyo Na SIRI KALI Yake Na Baadae Huyo Huyo Mwandishi Mariam Shamte Akawajibishwa Na Ndiyo Maana Siku Hizi Humsikii Tena Akitangaza BBC. Ila Siyo Mbaya Lengo Lako Limefanikiwa!

kama unayemtetea hakwenda shule hakwenda tu,hata upige kelele hapa haisaidii.
 
kama unayemtetea hakwenda shule hakwenda tu,hata upige kelele hapa haisaidii.

Nadhani Nimeshamalizana Na Wewe. Wewe Nchi Yako Ina Hao Wasomi Lukuki Na Pengine Hata Wewe Ukiwemo Kuna Kipi Cha Maana Hapa Nchini Cha Kujivuni Kuwa Kweli Wasomi Mpo? Na Ndiyo Maana Hata Ktk Post Yangu Hapo Mwanzo Nilikuambia Kuwa Tayari Nimejua Uwezo Wako Wa AKILI Hivyo Sihitaji Sana Kumaliza Nguvu Zangu Kuendelea Na Wewe. Na Tuseme Hivi Labda Huyo Namba 6 Hana Elimu Kabisa Je Umeridhika? Naomba Niishie Hapa Mkuu ILA Nakuruhusu Kuendelea Kunikosoa Lakini Binafsi NIMEMALIZA Na Wenye AKILI Zao Humu Ndiyo Watapambanua Ukweli au Uhalisia Wa Ulichokileta Kimantiki Zaidi Na Nayaheshimu Mawazo Yako Pia.
 
1. Jacob Zuma- Republic of South Africa

Zuma received no formal schooling. The debate surrounding South African president Jacob Zuma’s lack of formal education has been a hot discussion topic for years.Prince Mashele, CEO of the Forum for Public Dialogue, has been critical of Zuma’s lack of formal education and argued that Zuma is not fit to rule.
In December 2012, Mashele said the following about another Zuma term in office: “The rainbow nation of Nelson Mandela will disintegrate, under the weight of a corrupt government, led by people who build large compounds in Nkandla”.
Others disagree. Vusi Shongwe, who worked in the office of the KZN premier, said he believed that the negativity over Zuma’s leadership is largely unjustified.“For all his faults and foibles, he remains a leader people from all walks of life can easily relate to,” said Shongwe

2. Joseph Kabila- Democratic Republic of Congo

Mr Kabila spent his childhood in Tanzania and spoke better kiSwahili and English than the languages most spoken in Kinshasa – French and Lingala, which he had to learn on the job. Following high school, Joseph Kabila followed a military curriculum in Tanzania, then at Makerere University in Uganda.
Winning DR Congo’s first democratic elections in more than 40 years at the tender age of 35 gave him the legitimacy to stamp his authority on the country and move out of his father’s shadow. Joseph Kabila went on to get further training at the PLA National Deffense University, in Beijing, China. Apart from these the only academic Certificates known to be held Joseph Kabila is High school Certificate.

3. Presdient Ismaïl Omar Guelleh – Djbouti

Guelleh was born in dire Dawa, Ethiopia, into the politically powerful Mamassan subclan of the Issa Clan. When Guelleh was younger he attended a traditional Islamic school. In the late 1960s, Guelleh migrated to Djibouti before finishing high school. He later joined the police, becoming a junior non-commissioned officer.
The Highest level of formal academic education known to be attained by Guelleh is secondary school although He received training from the Somali National Security Service and then from the French Secrete Service, and was intended to become his uncle’s successor. “The key to Guelleh’s success is the skillful way in which he has played the cards in his strong hand”, according to PINR.

4. President Omar Hassan Ahmad al-Bashir – Sudan

Omar Hassan Ahmad al-Bashir did his Primary school in the village of Hoshe Bannaga and his secondary education in Khartoum, apart from these there is no evidence of any other academic qualifications accredited to Omar Hassan.
He studied at the Egyptian Military Academy in Cairo and then at the Sudan Military Academy in Khartoum from where he graduated in 1966. He Joined the Sudanese Army and studied at the Egyptian Military Academy in Cairo and served in the Army since then until he became the president of Sudan.

5. Yahya Jammeh – Gambia

President Jammeh received a secondary school education in Bwiam. He received his early education at Kanilai Primary School, Saint Edwards Primary School in Bwiam, and Gambia high School in Banjul.
In 1983 he passed the General Certificate of Education (GCE 0′ Level) with Credits in Geography, English, French, Biology and Physics. Also obtained passes in Chemistry and Oral English. Jammeh joined the Gambian National Army in 1984, was commissioned a Lieutenant in 1989, and in 1992 became commander of the Gambian Military Police.He received extensive military training in neighboring Senegal and at United States Army school.

6. Paul Kagame – Rwanda

Kagame began his primary education in a school near the refugee camp, where he and other Rwandan refugees learned English and began to integrate into Ugandan culture. At the age of nine he moved to the respected Rwengoro Primary School, around 16 kilometres (10 mi) away, graduating with the best grades in the district. He subsequently attended Ntare School, one of the best schools in Uganda.
It is also the alma mater of future Ugandan President Yoweri Museweni The death of Kagame’s father in the early 1970s, and the departure of Rwigyema to an unknown location, led to a decline in his academic performance and an increased tendency to fight those who belittled the Rwandan population. He was eventually suspended from Ntare and completed his studies without distinction at Old Kampala Secondary School. Kagame, did not further academic his education since then.

7. Mohamed Ould Abdel Aziz – Mauritania

Born in Akjouit, Mauritania in 1956, Abdel Aziz attended college at the Royal Military Academy of Morocco, which led him to pursue a career in the Mauritanian military, thus he forfeited the possibility of earning a high school certificate.
He joined the Royal Military Academy of Meknes, Moroco in 1977 and, after a string of promotions, established the elite BASEP (Presidential Security Battalion). He played a key role in suppressing an attempted coup in June 2003 and a military uprising in August 2004. He received Mauritania’s highest military award for his role in stopping the 2004 uprising. He has earned much credit for his work however Abdel Aziz is one of the least educated African Presidents.

source:Africa Cradle
chakufia nini
....military academy ni elimu ndogo kabisa katika Afrika !...mmh ! ... :confused2:
 
Last edited by a moderator:
Kusoma sana sio issue kwenye urais, mbona hapo juu Kagame ameshika namba 6 lakini ni kiongozi mzuri na mambo yanaenda nchini kwake kuliko hata hao wanaojiita Dr na profesor
 
Back
Top Bottom