Shuleless JF-Expert Member Aug 12, 2015 4,923 6,171 Dec 17, 2016 #2 Huyo anatokea imalinyi huko Unafikiri akili zake zitakua vizuri!?!?
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,214 56,855 Dec 17, 2016 #3 ha ha ha!! ukimblock hujatatua tatizo mpe nondo za maana atakaa fresh and he will be a good friend
KISHINDO JF-Expert Member Jun 23, 2013 2,112 1,798 Dec 18, 2016 #5 Ccm tu whether you like or you don't like. Upinzani tena wa akina lipumber na mbower hautashika dola leo au kesho. Labda baada ya miaka 1,000,000,000 ijayo.
Ccm tu whether you like or you don't like. Upinzani tena wa akina lipumber na mbower hautashika dola leo au kesho. Labda baada ya miaka 1,000,000,000 ijayo.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,845 Dec 18, 2016 #6 Transcend said: Wakuu... Hivi kwa hali ya sasa hivi ilivyongumu..X mas tunaisikia redioni tuu na matangazo kwenye Tv... Afu una rafiki yako yako ndo kwanza anawaza kupiga kura kwa wale jamaa zetu 2020... Mimi namblock huyu wakuu... Click to expand... safi sana
Transcend said: Wakuu... Hivi kwa hali ya sasa hivi ilivyongumu..X mas tunaisikia redioni tuu na matangazo kwenye Tv... Afu una rafiki yako yako ndo kwanza anawaza kupiga kura kwa wale jamaa zetu 2020... Mimi namblock huyu wakuu... Click to expand... safi sana