Marafiki wanahitajika

Marafiki wanahitajika

Uzi kama huu muwe munaatachi na picha, siyo mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia

ImageUploadedByJamiiForums1414953679.319555.jpg picha hiyo imetoshaa ? Haya wahi ..
 
December mbali sana bana...........alafu sitakuwepo.........njoo mwezi huu.........

uwiii.. this month nitakua dar kikazi mae.. naondoka kesho dear. mpaka dec ndo nitarudi huku then nichukue leave
 
Seriously? Haha utawapata tu wanaowaza kupitia miguu
 
ukikaa ndani mkuu utaendelea kupost nyingi humu JF...toka nje....kibaya chajitemeza kizuri chajiuza
 
am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out ther but sina mwenyeji...
Sio mtu wa starehe bt napenda kuwa happy...n am single too so guys karibuni..who knows🙂

Sasa kujifungia ndani si umeamua mwenyewe! toka nje uone uoto wa asili............ nakusubiria getini
 
He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........

hapo mwishoni mkuu umenivunja mbavu
 
He!....jiji lote hili la mamilionea huna kampani........?.......hebu njoo hapa. Escape 2........tunyonye sangria taratibu..........tudiskasi mswada wako huo wa kukaa ndani kama utumbo..........
Afu ujue Preta,baada ya kukusoma hapa nimepata mshawasha na wewe,sasa kazi kwako,maana nimefikia hapa Coyote Apartments na sina mwenyeji hapa Arachuga,nataka unijibu ili tupange jinsi gani utanipeleka kwa mama Martina na Josephine.
 
Ha ha upo Coyote (koyoriii)......?.....katikati ya mji sio eeeh......basi pandisha juu kama unaenda msikitini......kabla hujavuka barabara kula kulia......baada ya ghorofa nyumba ya pili......
 
Ha ha upo Coyote (koyoriii)......?.....katikati ya mji sio eeeh......basi pandisha juu kama unaenda msikitini......kabla hujavuka barabara kula kulia......baada ya ghorofa nyumba ya pili......
Asante,acha nijipange basi,nasikia kuna wakabaji Arachuga au vipi?
 
Back
Top Bottom