M Mr. Sound JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 2,217 Reaction score 4,799 Oct 5, 2024 Thread starter #121 Stroke said: Unapost halafu unatupangia cha kujibu?? Si ungeliacha hili jambo libakie kwako kuliko kushirikisha watu?? Click to expand... Mkuu sijakupangia cha kujibu bt tumetofautiana mitizamo tu, ambalo ni jambo la kawaida ktk mijadala.
Stroke said: Unapost halafu unatupangia cha kujibu?? Si ungeliacha hili jambo libakie kwako kuliko kushirikisha watu?? Click to expand... Mkuu sijakupangia cha kujibu bt tumetofautiana mitizamo tu, ambalo ni jambo la kawaida ktk mijadala.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,301 Reaction score 27,069 Oct 5, 2024 #122 Mr. Sound said: Wengi mnageneralize coz mnaenda nje ya kilichokusudiwa, ukibaki kwenye muktadha wa utafutaji na michongo ya kazi ni rahisi kunielewa. Click to expand... Tumeshasema rafiki yeye yupo kwenye connection na shida dongodongo tu matatizo makubwa anakuacha kwenye mataa unabaki na DG zako. Tumeona sio kusimuliwa
Mr. Sound said: Wengi mnageneralize coz mnaenda nje ya kilichokusudiwa, ukibaki kwenye muktadha wa utafutaji na michongo ya kazi ni rahisi kunielewa. Click to expand... Tumeshasema rafiki yeye yupo kwenye connection na shida dongodongo tu matatizo makubwa anakuacha kwenye mataa unabaki na DG zako. Tumeona sio kusimuliwa