baba_enock na mama_enock hawana "safe distance" : rafiki ya me ni rafiki ya be & vice versa...
Labda kama tunajaribu kubadilisha maana ya neno "rafiki", but in general and generic terms a friend is someone (other than a relative) ambaye mnaweza kushauriana mema na mabaya, mnaweza kusaidiana katika kila hali, e.t.c.
Sasa unaponiambia kuwa ninaweza kuwa na rafiki ambaye urafiki wetu ni (100-x)%, where x is variable! Sijui maana yake.
Also, kwa walio kwenye ndoa kuna terminology tunaitumia sana nayo ni "family friend" kwa maana kuwa ni familia rafiki kwa maana ya urafiki. Say mama_enock anafanya kazi mitaa ya posta na baba_peace (our family friend), i can see no offense whatsoever, baba_peace na mama_enock kwenda break point kupata lunch or kujuimuika in any way, that is beyond my control... Anyways as murphys law says "anything that can go wrong, will go wrong" .. Kama ni kuwa na "affairs between them", you can not avoid it by not allowing them to mingle - no, never, and ever..
Huwezi kuwa na urafiki na mtu kwa asilimia (100-x)% halafu ukamwita rafiki - huo ni unafiki and i hate it..