This part sijui kama unafikiria nachofikiria mimi ila usiniulize nichofikiria mimi ni kitu gani lolKwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani inatofautiana kati ya mtu na mtu maana binafsi sio mtambulishaji mzuri hata kidogo...achalia mbali kuweka/tengeneza mazingira ya ukaribu ila ni mtambulishwaji mzuri na baadhi ya nliotambulishwa kwao tumetokea kua marafiki wazuri sana hivyo tupo karibu!!Na kuna wanaume kutambulisha wapenzi wao mpaka kwa ugomvi!
To the point....mara nyingi wanawake (sio wote..baadhi) ndo hua tunasemwa tukiruhusiwa kua karibu na waume/wapenzi wa marafiki zetu maneno hua mengi mpaka kuwaharibia wenzetu ili tuchukue nafasi zao au kuona tu wakikosa.....sijui kama ndivyo ilivyo kwa wanaume pia!! Hii hua inaendana na ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ambao nao una kaukweli ndani yake.
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??
Ukweli mtupu hapo lizzyKwanza nimejaribu kufikiria kati ya wanawake na wanaume ni wapi hua wanaongoza kwa kukaribisha/weka mazingira ya ukaribu kati ya wenzi wao na marafiki zao bila kupata jibu la moja kwa moja.Nadhani inatofautiana kati ya mtu na mtu maana binafsi sio mtambulishaji mzuri hata kidogo...achalia mbali kuweka/tengeneza mazingira ya ukaribu ila ni mtambulishwaji mzuri na baadhi ya nliotambulishwa kwao tumetokea kua marafiki wazuri sana hivyo tupo karibu!!Na kuna wanaume kutambulisha wapenzi wao mpaka kwa ugomvi!
To the point....mara nyingi wanawake (sio wote..baadhi) ndo hua tunasemwa tukiruhusiwa kua karibu na waume/wapenzi wa marafiki zetu maneno hua mengi mpaka kuwaharibia wenzetu ili tuchukue nafasi zao au kuona tu wakikosa.....sijui kama ndivyo ilivyo kwa wanaume pia!! Hii hua inaendana na ule msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ambao nao una kaukweli ndani yake.
Nwy binafsi sijawahi kukutwa na hili 'first hand' kwahiyo naomba kuuliza je ''SAFE DISTANCE'' kati ya rafiki na mpenzi/mwenzi wa rafiki inatakiwa iweje??Kila mmoja ana namba ya mwenzake?Wanaweza kukutana hata kama wewe haupo? (hapa tuseme mwenzako anaishi mji mwingine na rafiki hiyo kaenda kutembelea mji huo) .Kujua mambo yenu kwa mf. mkigombana...patana..furahishana??Kujuana mpaka makazi?Kutambulishana kwa marafiki zao??
nyamayao.......inakuwaga ngumu kwa kweli unaanzaje tu kwa mr wa friend wako kumzoea kikaribu? Na anachokisema Lizzy ni kweli kabisa kuwa mara nyingi wanaokuuma na kukuchoma mgongoni ni mafriend wako!
yaani wajiamulie tu kukutana mie nikiwa cna taarifa yoyote? hapana!..halafu mambo ya ndani kuyamwaga kwa marafiki nayo sio ishu, nina frnds wengi wengi but ukiniuliza wa karibu sana ninaoweza kuwaambia shida/matataizo yangu ni wawili tu, tena hapo bado napimia cjui ni uaminifu cna wa kutosha cjui najihc wala cjui, lakini hao ma frnds zangu hata awe na shida ya namna za majumbani kwao wao wa kwanza kunipa black/white, mie cjui nipoje, na share nao but najua kabisa siingii in deep, mtu ninaeweza kumweleza kila kila kitu changu ni dada yangu mpenzi..wana no za mr nina no za mr wao but huwa kama kuna shida ya kusaidiana mahali nitamcal frnd kwanza then nimeambie nina hiki na hiki nadhani mr wako ataweza kunisaidia then ndio aniunganishe sasa, sio kukurupuka tu na sio ustaarabu kabisa.
From experience, halafu tena wale wanaoanza "I just love the way you dress, you really smell nice i mean you are so cool when can i visit you i would love to know where you are staying, sorry i forgot to ask you your number" akirudi mwenyewe binti anajikausha kama muhogo utafikiri sio yeye vileSpeaking from experience au yakusikia?
Lizzy i love that phrase, be reminded that leo W anachukuliwa and he will spend all this week at my place deal?Hahahahhah....usiwe hivyo bwana.....I'm DIFFERENT and on top of that i'm SPECIAL kwahiyo hamna tatizo kipande hii!!!
Kuna vitu ambavyo kama hujavipitia utu uzima unakuwa haujakamilika.
Kujengeana ukaribu ni nature ya binadamu. Na lengo ni kufahamiana na kubadilishana mawazo mbalimbali tunayopitia ktk maisha yetu.
Ni kitu ambacho ni vigumu kukiepuka. Ukijaribu kuweka SAFE DISTANCE yoyote unaweza ukaonekana mbinafsi, mchoyo na pengine utafikiriwa hata mabaya kama vile unaficha uhalifu fulani au una usiri fulani mbaya unaogopa utagundulika ukijichanganya na jamii.
Ambacho nakiona hapa ni kwamba, kupitia njia hizi za kubadilishana mawazo na kufahamiana kwa wema ndio zinazotumika kupenyeza hata vishawishi vya mahusiano ya ziada. Hapa ndio unapoanzia ugumu wa kuzuia hali hii . . . .
Sijui kama nimechangia sawa sawia kama kwa jinsi nilivyoelewa presentation yako . . .
Sasa where my LIKE n Thanks at...???Mhhh mbona nlikua sijajua??Ngoja nimpakie vikorokoro vyake....mkisumbuana huko naomba msinihusishe!!Lizzy i love that phrase, be reminded that leo W anachukuliwa and he will spend all this week at my place deal?
From experience, halafu tena wale wanaoanza "I just love the way you dress, you really smell nice i mean you are so cool when can i visit you i would love to know where you are staying, sorry i forgot to ask you your number" akirudi mwenyewe binti anajikausha kama muhogo utafikiri sio yeye vile
Hahaha lol!!!Lizzy let me be blunt with you ( and no offence intended kwa wanaume wenzangu),umezungumzia distance,fine,ngoja nikwambie,mwanaume yeyote,yeyote hapa i mean any man awe workmate,shemeji,jirani,relative,business partner etc ,ukimjengea mazingira ya kuzoeana kupita kiasi (mambo ya distance hayo) ATAKULALA TU,period!
mimi mwanamke akipeleka mambo yetu ya ndani kwa shosti wake
naweza mpa talaka mara moja.....
kingine i hate most.......
unarudi kazini umechoka.....unakuta nyumba imejaaa watu.....
i really hate this........
unakuta watu wanaangalia filam ya kinegeria hivi au wamejiachia kwenye makochi
na story za umbea......arghhhhhh
mimi nataka nikirudi home nikute honey yupo peke yake
ananukia hivi,msaaafi....nguo nyepesi.....na juice baridi inanisubiri......
get it women....