Sisi wa geti kali tusemeje sasa 🌬️🤣🤣Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani
Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani
Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho
Marafiki wa kukutana high school
Marafiki wa kukutana vyuoni
Marafiki wa kukutana makazini
Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki halisi bali ni marafiki kwa sababu fulani
Hawa ni mpaka mkae muda mrefu sana pamoja kwenye hali zote shida na raha, kukosa na kupata, kuumia na kuumizwa! Wengi wao rangi zao halisi hujifunua huku!
Rafiki uliyekua naye mkasoma wote shule ya msingi, mkacheza pamoja, mkatembeleana, mkacheka pamoja mkalia pamoja, familia zenu zinafahamiana ndugu zenu wanafahamiana.. Hawa ndio huwa marafiki wa kweli kwakuwa bond wanayoijenga huwa na vyanzo vingi.. Hawadahauliani na ni vigumu mno kusalitiana!
Tunakutana na watu wapya kila siku, wema na wabaya! Na wabaya waliojificha kwenye joho la wema! Sio dhambi kuwa na marafiki wapya! Maisha ni watu bila watu hakuna maisha ama maisha yanakuwa hayana maana!
Rai tangu ni hii kuwa makini sana unapochagua marafiki wa ukubwani.. Wengi ni marafiki wa agenda.. Wengi ni marafiki kwa sababu . Agenda ikiisha/ikifa ama sababu ikikoma na urafiki nao hufika tamati
Ninao marafiki wengi na ninawaamini sana ila baadhi wameniachia makovu .. Siumii kwakuwa natambua marafiki wa kweli ni wale wa utotoni[emoji2827]View attachment 2519891
Duuuh mimi nilipokulia hamna aseee ni mtoto pekee kwenye familia mkuuu sina rafiki yeyote wa utotoni sijui kucheza michexo ya kombolela sijui makaraa hiyo naisikiaga tu kwa watu mm ni midoli na magari ya kitoto tu ndo ninayoijua nina rafiki 1 tu wa kweli nimesoma nae from form 1 to form 6 basi combi sawa kila kitu sawa chuo tu ndo tumepotezana yupo mbeya mi nipo dar yeye pekee ndio ninaeweza kumchuja hapa tumetoka mbali sana kwenye maisha ya shule mawasiliano hayakaukiMna marafiki pia kwa rank yenu
You have a stolen past[emoji24]Duuuh mimi nilipokulia hamna aseee ni mtoto pekee kwenye familia mkuuu sina rafiki yeyote wa utotoni sijui kucheza michexo ya kombolela sijui makaraa hiyo naisikiaga tu kwa watu mm ni midoli na magari ya kitoto tu ndo ninayoijua nina rafiki 1 tu wa kweli nimesoma nae from form 1 to form 6 basi combi sawa kila kitu sawa chuo tu ndo tumepotezana yupo mbeya mi nipo dar yeye pekee ndio ninaeweza kumchuja hapa tumetoka mbali sana kwenye maisha ya shule mawasiliano hayakauki
Its true sikatai aseee ni stolen kweli ila kila mtu. Anafungu lake hapa dunianiYou have a stolen past[emoji24]View attachment 2519892View attachment 2519893
Ambae hajawahi kuchezea mvua daaah utoto kazi kweli kweliYou have a stolen past[emoji24]View attachment 2519892View attachment 2519893
Zilipo Mabibo hostel yalikuwa ni mashamba ya mpungaAmbae hajawahi kuchezea mvua daaah utoto kazi kweli kweli
Nakumbuka pale Mkapa Export kabla hapajawekwa ukuta kulikua na minara ya mawasiliano sasa ukipita km unaenda Mabibo hostel kulikua na vichaka kulikua na matunda poli fulani hivi enzi hizo tupo watoto watoto tulikua tunayafuata matamu kishenzi daah sasa hivi hakuna poli pale [emoji23]
Laiti wakati ungekuwa na rivasi... Muda ungetufunulia mengi tuliyopitia yakatujengea bond isiyokatika.. If i could turn back the time!Kwa sisi wa vijijini, ni raha ilioje unaporudi Kijijini na kukutana na marafiki wa utotoni.
Yaani mkikutana jioni kwenye moja moto moja baridi hapo pesa huwaga haina thamani tena.
Ni furaha stori na vicheko kwenda mbele.
Poleni sana mliokulia kwanye mageti.
Me ninae jamaa yangu tumesoma toka awali mpaka form 2,akafel kwenda 3,aliacha shule akaenda sauz...Ninae huyo rafiki niliesoma nae la kwanza mpaka la 6 then tukapotezana but mpka sasa tunawasiliana ....hatujawai onana yapat miaka29
Amini mkuu,kama muda ungerudi nyuma kuna pahala ningeswitch off...Laiti wakati ungekuwa na rivasi... Muda ungerufunulia mengi tuliyopitia yakatujengea bond isiyokatika.. If i could turn back the time!
Fanya mpango muonane one-day mana Mmoja wenu akiaga Dunia ni majutoMe ninae jamaa yangu tumesoma toka awali mpaka form 2,akafel kwenda 3,aliacha shule akaenda sauz...
Haijawah pita siku 3 hatujawasiliana.