ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,785
- 1,317
mmmmh ngoja niongee na P
Tena leo ntanunua limbwata uniwekee.....:hat:aluaalualuuuuuuu narudi mume wangu.... ndoa tamu ndoa ina raha yake kuwa mke wa Asprin raha mwanaume anajua shughuli, anajua wajibu wake, mpole mwenye kusamehe....wenye wivu wajinyonge mwaaaaaaaaaaah my hubby
Tena leo ntanunua limbwata uniwekee.....:hat: