Marafiki na Mahusiano

Marafiki na Mahusiano

Kwanza, lazima upime maneno ya kumtamkia rafiki yako juu ya mke wake, pili siku hizi kuna misemo mingi kwa vijana yenye maana tofauti.
-mkeo mzuri : hii haina shida saana yawezekana akawa anamzungumzia muonekano wa sura. Wa shemeji yake.
- mkeo mtamu : hii nayo imegawanyika yawezekana (kaonja) au usemi wa mjini jamaa anasifia muonekano wa maungo kwa nje na jinsi anavyotembea.

Duuuuuuh.

Kazi ngumu ni kutofautisha hapo kwenye kuonjwa na muonekano wa maungo wa nje.
 
Kutamani ni jambo moja na kutenda ni jambo lingine...

Mimi binafsi nikiwa na mahondaw wangu... My friends do tell me.. Daah Smart911 shemji ni mzuri na mtamu...

I take it positive sababu najichukulia daah kumbe nina mwanamke kifaa... Mpaka watu wanamtolea macho...

Cc: mahondaw

Aiseee,

Basi, Weka picha ya Mahondaw, tumuone mkuu!!

Pleaseeeeee, we need to see Mahondaw's pic!!!
 
Mtazamo wako ukiwa negative lazima tu utamtilia shaka huyo friend yako ijapokua wasi wasi ndio usalama wako mkuu.

mafisadi hayana chama
 
Mbona issue ya kawaiida unaikompliketiisha...

Mimi marafiki zangu wanamuita "demu wetu" lakini nachukulia fresh tu kwasababu najua wanaume tunavyoishi.

Ni sawa na marafiki wanavyosema "bora ufe" ukiwa umelazwa hospitali. Fresh tu mbonaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu , nimekusoma vyema.
Pokea like.
 
Mtazamo wako ukiwa negative lazima tu utamtilia shaka huyo friend yako ijapokua wasi wasi ndio usalama wako mkuu.

mafisadi hayana chama

Duuuuuuh,

Sawa mkuu, nimekusoma vyema.
 
Back
Top Bottom