Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,110
- 122,503
Ewaaaaa. Bora ucheke shemeji yangu mana kwenye vijiwe kuna maneno ya kukera saa nyingine na utakuta hata hayamaanishi.Duuuuuuh,
Haaaaaa haaaaaa haaaaaa teeeh teeeh
Ewaaaaa. Bora ucheke shemeji yangu mana kwenye vijiwe kuna maneno ya kukera saa nyingine na utakuta hata hayamaanishi.Duuuuuuh,
Haaaaaa haaaaaa haaaaaa teeeh teeeh
Siku njema shemeji.Nimekuelewa, Shem.
Haaaaaa haaaaaa haaaaaa teeeh.

![]()
![]()
kweli rafiki. Mana saa nyingine mtu anaweza anzisha varangati kumbe hakuna lolote.
Shem,
Ila siyo kwangu, kwangu pako salama salimini.
Ndiyo maana basi, kila wakati huwa
Nashukuru mkoa wa Tanga , kuwa Tanzania.
Nawe pia, kwa kumlea vizuri Mdogo wako.

Ooh. Hapo sawa shemeji yangu mana nilikuwa naenda kimya kimya nipate picha halisi.
Usijali kwa mdogo wangu pale labda tabu uwe nazo wewe mana hata huo muda wa kumpa mtu nafasi amsifie mwenyewe hana.![]()
![]()
Hata wakimtafuta haina kwere maana anajitambua and I real acknowledge herHaaaaaa haaaaaa haaaaaa teeeh, teeeh,
Sasa, mkuu, kosa lako umemtaja marafiki zako, ndiyo watamtafuta rasmi ili wamuone .