Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Hello,
Bonjour à Vous!
Wana MMU, twende kwenye mada, issue iko hivi, upo na marafiki zako wa kiumeni sasa inatokea miongoni mwa rafiki yenu mmoja akawa ana mke/demu mzuri yaani umbo na haiba nzuri.
Ghafula, rafiki yenu mmoja akamwambia rafiki yenu ambaye ana mke ambaye ni yule mrembo sana, akasema, Kaka, Hongera kwa kuchagua mke mzuri na mtamu sana.
Kama wewe ndiye Mme wa huyo mwanamke utajibuje!?
Pia, wewe kama mme utachukuliaje hilo neno la "mke wako mtamu sana!
Mwisho, je ni sawa rafiki huyo kumwambia mme wa huyo demu maneno hayo tena mbele za rafiki zake wengine yaani kundi!?
Mchango wenu utanipa hamasa ya kuwaambia kilichofuatia baada ya maneno hayo ya kumwagiwa sifa kwa mke wa mtu.