Jamani ninachukia sana watu wasiokubali hali walizonazo i mean za kwao. Unaweza kukuta mtu kwao life ni hard but akiwa shule au chuoni full kujisifia mara kwetu kuna hiki, mama yangu ni hivi, sijui company ya mshua ipo hivi, tuna mabekitatu wanne.
Mbaya zaidi apate tatizo muende kwao hakuna cha geti, bekitatu, company ya mshua, wala vyote alivyokuaanajisifia. Hiyo haitoshi maskini unakuta mshua wake hata shule hajaenda mother ndo kabisaaa hata kusoma hajui na nyumba ni ya makuti.
Aisee hiyo sio poa inabidi tujikubali au siyo friends?